Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Toka mzibuliwe na Everton pamepoa sana hapa ndani.
Bado wapo kwenye matanga,
Ule msiba ulikua mzito sana, mpaka wengine wakafikia hali hii huko mabarabarani.
 
Today
Screenshot_20230208_160347_Twitter.jpg


Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Jojinyo kaja na matokeo yake mfukoni kutoka chelsea.
Mkiachana na mechi 2 zinazofata za kutema ndoano dhidi ya Brentford na Man City fixture yenu ya mwisho wa ligi imekaa kiEuropa Europa msimu unaofata.
Asenyo endeleeni kula mtori, nyama mtakutana nazo mwisho wa April na mwanzo wa May. View attachment 2506947
Kwenye hii fixture huyu arse8 anapoteza zote hapo
 
Kunaingilika huko?
Wazoefu nawaona wanatoka na nakuingia, ila kwa mgeni sikushauri.
Kuanzia juzi, wale jamaa (waasi) wamerudi kwa kasi na nguvu mpyaa.

Kuna kijiji wamechinja kama watu 16 hivi.

Ila tuachane na hayo, tunatoka nje ya maudhui.
 
Achana nae mkuu.
Stress zake anazileta huku!... mbona atatulia tu.
 
Mchizi boti, me sili kwa shemeji.
Wanaobeti wengi wao hawana majukumu.

Ila mchizi boti pale kwa Enzo mumepigwa na kitu kizito, yule sio mchezaji wa kununua kiasi kile cha pesa.
Yule ngoja achanganye ndio utajua bado ni mapema kumjaji
 
Back
Top Bottom