juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,952
- 5,438
Nahisi hata Potter nae anashida, tunaweza kuwa na shida na striker, ila potter na yeye anashida, ukiniambia mpk sasa muundo wetu wa kiuchezaj ukoje nitashindwa kukwambia.Shida ya Chelsea ni striker, game ya jana imezidi kuconfirm.
Havertz, Mount, Nkunku, Sterling, Mudryk, Ziyech hawa wote ni wazuri kuwatengenezea ST nafasi. Sasa Chelsea St wao ni Havertz nafikiri mpaka wacheze free role ndiyo matunda yatakuja kwa sasa
Mount n Havertz week in week out wanatoa performance mbov ila bado wataendelea kuwepo.
Jana ukiangalia gap lilokuwepo kati ya Enzo na wale 8s(Mount + Galagher), unabaki unacheka ni kama wanamlimit uwezo wake, na wanampa kazi kubwa.
Mount alikuwa kama 8s ila mda wote yuko kwenye zone ya Mudryk utasema henc mipira michache sana ilienda kwa mudryk.
Ziyech ni kama akili ilikuwa Paris vile
Potter ajiangalie kimbinu, Arteta alihataj mda ila hata kwa short term aliweza win(Fa Cup) tena kwa kuwafunga City n Chelsea.