Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,875
- 16,442
Kwenye hii comment yako naomba huyu mwamba hapa chini pamoja Giroud wasihusishwe, maana mpaka leo hua wanajilaumu sana kupoteza muda wao mwingi kuchezea timu ya Academy.Ndio maana wengi wakitoka arsenal huwa wanajuta
Na ata wakiwa katika timu zingine lakini anakua bado na upendo mkubwa kwa arsenal
Eg Sanchez
Povu ruksaaaa.