Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Lokonga ndio maana amepelekwa hapo hapo EPL Kuna vitu ana mis ,na timu kwasasa haina muda wakumsubiri tunahitaji kupigania Epl sio kwa kubahatishaKwamba Lokonga sio mchezaji? Guys labda mimi sijawahi kuujua mpira, hata Xhaka kuna kipindi tulisema ni shyte tu, leo hii kila mtu kimya. My opinion is, Lokonga ji bonge la mchezaji, bado kijana ndogo na anajifunza, huenda akibadilishwa namna ya uchezaji akawa vizuri zaidi.
Labda utoe aspects za kimpira kunijibu, otherwise naona hate tu kwa dogo.