Mkuu, kuna mahali humu niligusia suala la timu za Ulaya au soka la Ulaya kuongozwa sana na teknolojia kwa sasa hivi.
Zipo programs nyingi sana za computer ambazo zasaidia mameneja, washauri, wadau na wachambuzi kufanya tathmini ya wachezaji hadi kufikia maamuzi.
Na sasa hivi Artificial Intelligence au AI nazo zimeingia kazini zafanya kazi hiyohiyo.
Hivyo basi takwimu au statistics zaonyesha kwamba Jorginho awazidi Partey na Caicedo kwa maeneo kama kukimbia uwanjani. Jorginho (kwa dakika 90 ) akimbia kilomita 11.1 kulinganisha na Partey ambae akimbia kilomita 10.5 na Caicedo akimbia kilomita 10.2
Pia ndani ya dakika 90 kwenye "interceptions" na "tackles" Jorginho ana 8.3 , huku Partey akiwa na 7.3 na Caicedo akiwa na 6.2
Nisisitize tu hapa kwamba hiyo haimaanishi kwamba Arsenal isimsajili Caicedo lakini ni kwa ajili ya future na mrithi wa Partey kwani atakua na muda wa kijiimarisha zaidi.
Eneo moja ambalo Jorginho atiliwa shaka ni namna jinsi apitwavyo kwa chenga ndani ya box yaani dribbled pass ambapo apata alama za chini yaani 0.9 wakati Partey ni 1.1 tu na Caicedo 0.6
Hiyo yaweza kabisa kuwa improved kwa maelekezo ya kocha Arteta.
Kwa uelewa zaidi angalia hiyo Chart hapo chini.
Jorginho stats vs Thomas Partey & Moises Caicedo
| Premier League Since 21/22 | Jorginho (per 90) | Partey (per 90) | Caicedo (per 90) | |
|---|
| Appearances | 47 | 40 | 26 | |
| Minutes | 3559 | 3426 | 2271 | |
| Goals | 8 (0.2) | 4 (0.11) | 2 (0.08) | |
| Assists | 2 (0.05) | 1 (0.03) | 2 (0.08) | |
| Chances Created | 34 (0.9) | 31 (0.8) | 24 (1) | |
| Distance covered (km) | 437.7 (11.1) | 399.9 (10.5) | 257.9 (10.2) | |
| Passes | 2761 (69.8) | 2247 (59) | 1341 (53.1) | |
| Passing Accuracy | 88% | 86% | 87% | |
| Passes Ending Final 1/3 | 806 (20.4) | 624 (16.4) | 372 (14.7) | |
| Forward Passes | 792 (20) | 636 (16.7) | 367 (14.5) | |
| Through Balls | 10 (0.3) | 13 (0.3) | 8 (0.3) | |
| Carry Distance (m) | 4311.4 (109) | 4700 (123.5) | 2445.1 (96.9) | |
| Tackles | 106 (2.7) | 79 (2.1) | 68 (2.7) | |
| Interceptions | 57 (1.4) | 42 (1.1) | 36 (1.4) | |
| Possession Won | 327 (8.3) | 277 (7.3) | 170 (6.7) | |
| Dribbled past by opp. | 77 (1.9) | 40 (1.1) | 15 (0.6) | |
| Duel Success | 52% | 54.2% | 57.8% | |