Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

MANENO YA MIKEL MWAKA 2019 akiwa City

Mikel Arteta:

“Our position has changed. There are teams that want to play with a single defensive midfielder...

Not City. Other teams that role is not as defined and we are losing the idea of having one who plays there – the Jorginho or Busquets type, that I love...”

#MCFC
IMG_20230131_164851.jpg
 
Kwangu mimi naona arsenal kalamba dume.
sababu inaonifanya kwangu nione arsenal kalamba dume kwa jorginho kwanza jamaa ukicheki record yake ya misimu iliyopita alikuwa moja ya viungo bora ulaya iweje leo ashuke mapema hivi.

hapa tuseme tu na motisha ya timu ya chelsea kwa wachezaji imeshuka sana joginho watu wana mtupia lawama za bure tu.

Nachojua arsenal kwasasa timu motisha yake ipo juu inaweza kusaidia kupush kuludi kiwango cha jorginho yule wa misimu miwili iliyopita.

hapa tunaweza kusema muda ndo mwalimu mzuri kwangu naona kwa arsenal ilivyo saizi jorginho ni mchezaji sahihi kabisa.
 
Nikikumbuka mlikuwa mnakuja jukwaa la chelsea na kumtukana Jorginho aisee nachoka.
hawahawa ndio waliokua pia wanatucheka, dhihaki na kutukejeli Man Utd kuhusu Silvester halafu mwisho wa siku mzee Wenger akawalisha matapishi yao.
Ila Joginah yupo vizuri tu, mimi nina uhakika chini ya Arteta atakiwasha kwelikweli mpaka mashabiki wenyewe wa Arsenal watalazimisha aongezewe mkataba.
Hata Jesus wakati anasajiliwa kulikua na mashabiki kibao humu walikua wanaponda usajili wake, lakini baadae wenyewe wakakubali balaa lake.
Ni suala la muda tu, itafikia wakati humu kila mtu ataimba jina la Jorjinah kama linavyoimbwa jina la Jesus.
 
|| Arsenal still in for Moisés Caidedo and could strike a deal if Brighton soften their stance [Via - @SkySportsNews].
Litokee saivi tu, maana kinachonishangaza why tumemuachia Lokonga na hapo Elneny ni majeruhi, tumetoa viungo wawili alf tunaleta mmja .
 
hawahawa ndio waliokua pia wanatecheka, dhihaki na kutukejeli Man Utd kuhusu Silvester halafu mwisho wa siku mzee Wenger akawalisha matapishi yao.
Ila Joginah yupo vizuri tu, mimi nina uhakika chini ya Arteta atakiwasha kwelikweli mpaka mashabiki wenyewe wa Arsenal watalazimisha aongezewe mkataba.
Umeweka vema sana kaka. Tulihitaji mtu wa kaliba yake. Mbona pale mpo na Eriksen na kinawaka
 
Umeweka vema sana kaka. Tulihitaji mtu wa kaliba yake. Mbona pale mpo na Eriksen na kinawaka
Nawashangaa humu, haohao waliokua wanamtukana Tambi za Ukonga sasa hivi wanalalamika kwa nini ameondoka?
Halafu haohao wanakubali kua Jojinah yupo vizuri kuliko Tambi kisha haohao wanalalamikia usajili wa Jojinah.
Hawa ndio mashabiki wa Arsenyani tunaowajua sisi
 
Usirudie kunambia napayuka tunapokinzana mawazo, acha kuwa mpumbavu, jaribu kukua kiakili na kifikra na kimawazo.

Hata Willian na Lokonga waliletwa na kocha.
Huyo ni pro Arteta na anatumia hisia kuliko facts, kwake yeye anamuona Arteta ni malaika anayejua Kila kitu ila maoni ya mashabiki ni "kelele" tu.
 
hawahawa ndio waliokua pia wanatucheka, dhihaki na kutukejeli Man Utd kuhusu Silvester halafu mwisho wa siku mzee Wenger akawalisha matapishi yao.
Ila Joginah yupo vizuri tu, mimi nina uhakika chini ya Arteta atakiwasha kwelikweli mpaka mashabiki wenyewe wa Arsenal watalazimisha aongezewe mkataba.
Hata Jesus wakati anasajiliwa kulikua na mashabiki kibao humu walikua wanaponda usajili wake, lakini baadae wenyewe wakakubali balaa lake.
Ni suala la muda tu, itafikia wakati humu kila mtu ataimba jina la Jorjinah kama linavyoimbwa jina la Jesus.
Wewe jamaa ndio maana yule jamaa anakutukana matusi makubwa , lini mashabiki wa Arsenal walimtukana jorginho ? Mchezaji wa Chelsea atukanwe na mashabiki wa Arsenal ,hebu acheni kutafuta Kiki humu

Huyo Silvester kipind hicho hata JF sidhani Kama ilikuwepo au imechangamka ,

Jitahidi kuchangia point

Wanaotukana wachezaji Mimi binafsi huwa nawaambia ukweli ,katika sajili za Arteta na Edu wamefaulu kwa 80% na wapingaji wameaibika

Hata Jesus , Ramsdale,ode,Tomiyasu, n.k wametukanwa Sana humu ,
 
MANENO YA MIKEL MWAKA 2019 akiwa City

Mikel Arteta:

“Our position has changed. There are teams that want to play with a single defensive midfielder...

Not City. Other teams that role is not as defined and we are losing the idea of having one who plays there – the Jorginho or Busquets type, that I love...”

#MCFCView attachment 2501432
Kwani Jorginho wa 2019 ndio Jorginho wa 2023? Miaka 4 ni mingi sana mkuu mambo mengi yameshapita hapo kati.
 
Huyo ni pro Arteta na anatumia hisia kuliko facts, kwake yeye anamuona Arteta ni malaika anayejua Kila kitu ila maoni ya mashabiki ni "kelele" tu.
Acha ushabiki maandazi ,

Maamuzi na sajili za Arteta zimefanikiwq kwa 80%, kuliko nyie wapiga kelele

Jesus mlimuandama Sana ,leo mpo kimya

Leo mmehamia kwa Jorginho ,

Yes Mimi Ni Pro Arteta since day 1,

Namuamini kwasababu najua aliikuta klabu kwenye Hali gan na kaifikisha wapi

Uliponda Sana na kukashfu asije Mudrky , Nadhan umefurahi kwenda Chelsea ,

Tunaleta Jorginho Baada ya ELNENY kuumia msimu mzima ,Bado mnalalamika

Ndio maana niliacha kujibishana na wewe ,Cha ajabu unakuja una Ni quote
 
Huyo ni pro Arteta na anatumia hisia kuliko facts, kwake yeye anamuona Arteta ni malaika anayejua Kila kitu ila maoni ya mashabiki ni "kelele" tu.
Lakini media nyingi za uingereza zimeona its a great deal. Sijui nyie kwa nini mnaona Edu na Arteta wameboronga.
 
Attachments

  • Screenshot_20230131-173434_Facebook.jpg
    Screenshot_20230131-173434_Facebook.jpg
    67.9 KB · Views: 9
Kwani Jorginho wa 2019 ndio Jorginho wa 2023? Miaka 4 ni mingi sana mkuu mambo mengi yameshapita hapo kati.
Huna akili kumzidi Arteta aliyetengeneza competitive team ,leo umpangie Nani amsajili Nani asimsajili ,nasema huna unachomzidi Arteta

Wachezaji na Staff wamefurahi ujio wake , wewe endelea kulalamika
 
Yule sio mchezaji Mpira kabisa nadhani alisajiliwa kwa mihemko tu. Kipindi anasajiliwa tulitoa maoni yetu ila tukatukanwa sana kuwa hatujui lolote.
Leta maoni yako uliyotoa ,

Lokonga alisajiriwa Kama mchezaji potential ,Ni kawaida kutofikia

Arteta na Edu maamuz na sajili zao wamefanikiwa kwa 80%, usijipe umuhimu usiokuwa nao
 
Lakini media nyingi za uingereza zimeona its a great deal. Sijui nyie kwa nini mnaona Edu na Arteta wameboronga.
Great deal? Maybe sababu ni Bora kuliko Wale mizigo yaani Elneny na Lokonga.

Great deal sababu at least amesajiliwa mtu kuliko tusingesajili kabisa.

Ila kutoka kwenye kumsajili zubimendi/Caceido/Rice Hadi kumsajili Jorginho imeonekana ni failure.
 
Back
Top Bottom