Guacamole
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 6,079
- 16,035
Imekuaje mkamnunua yule Weghost sasa?😂😂Sisi ndio club kubwa London tukiamua kununua wachezaji wenu wote tunaweza....
Imekuaje mkamnunua yule Weghost sasa?😂😂Sisi ndio club kubwa London tukiamua kununua wachezaji wenu wote tunaweza....
Nachokiona hapa, arsenal kujiingiza kwenye hili deal ni kuwavuruga chelsea Ili wakaze wampate Caicedo ili summer sie iwe rahisi kumpata Decline Rice.Arsenal are well-informed on the Moises Caicedo situation! One to watch in the final days of the window. Liverpool and Chelsea interested as well.
Reports, @FabrizioRomano.
Hatuwezi kuwa na kiungo mvunja kuni kama onanaNimeona sehemu Amadou Onana wa Everton tunamtakia.
uyu newcastle sijui ata aliponaje hapo aseeeeeArsenal at Emirates Stadium this season 🔥View attachment 2492591
Tetesi tu,Nimeona sehemu Amadou Onana wa Everton tunamtakia.
akapost na game izo mi uwa simuelewi kabisaPicha za zaman hizi, shaffih anajulikana haipend Arsenal,
Hata Jana matokeo alikuwa anapost kwa kuvizia
Shaffih si ndio alituandikia makala ndefu hatutatoboa october
You never know anaweza kubadilishwa, naona ana kimo Cha haja na age nzuri.Hatuwezi kuwa na kiungo mvunja kuni kama onana
Hamna uwezo wa kumnunua Caicedo, wachezaji ambao tayari wameshatengeneza profile yao hua hamna ubavu wa kuwanunua, labda wale wa kupewa kwa hisani kama mlivyopewa Jesus na Zichenko.Moises Caicedo to Arsenal who says no?
We jamaa wewe......Hamna uwezo wa kumnunua Caicedo, wachezaji ambao tayari wameshatengeneza profile yao hua hamna ubavu wa kuwanunua, labda wale wa kupewa kwa hisani kama mlivyopewa Jesus na Zichenko.
Tuna mchezaji km Caicedo ambaye ni Partey, tukimpata Rice itakuwa poa zaidi, ataanza km 8 baadae Partey akipungua makali kwa umri wake, Rice anarudi 6Naona zile pesa za Mudy zimapiga kazi. Kama vipi tumchukue huyo Caicedo, au tuichukue scouting team ya Brighton maana wanajua kutafuta mpaka maporini huko wanaleta vyuma vya bei Cheeeeee ila vinakiwasha balaa.
We jamaa wewe......


Hongereni sana kwa kumsajili Kwiyo, hao ndio type za wachezaji ambao Arsenyani anauwezo wa kuwasajili ila sio kina Caicedo ambao kuna timu kubwa zaidi ya mbili zinamuhitaji.Ana profile gani mchezaji wa Brighton anayelipwa 15k p/w?Hamna uwezo wa kumnunua Caicedo, wachezaji ambao tayari wameshatengeneza profile yao hua hamna ubavu wa kuwanunua, labda wale wa kupewa kwa hisani kama mlivyopewa Jesus na Zichenko.
Dah wewe jamaa ,sema Nini unatunanga SanaHamna uwezo wa kumnunua Caicedo, wachezaji ambao tayari wameshatengeneza profile yao hua hamna ubavu wa kuwanunua, labda wale wa kupewa kwa hisani kama mlivyopewa Jesus na Zichenko.
Yule babu kutoka Besikitas unamzungumziaje?Hongereni sana kwa kumsajili Kwiyo, hao ndio type za wachezaji ambao Arsenyani anauwezo wa kuwasajili ila sio kina Caicedo ambao kuna timu kubwa zaidi ya mbili zinamuhitaji.