Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
System ya Chelsea sio rafiki kwa Jorginho ,Mbona Jorginho anampita Partey kwenye idara nyingi tu na sisi Chelsea tulimuona kama ndie hafai pale katikati? Takwimu saa nyingine bana, acha tu. Nadhani inayomuangusha Jorginho ni mistakes anazofanya na back passes nyingi
View attachment 2501309
Huyo Ni Register ,walimu waliopita Chelsea ukutoa Sari na lampard ndio walimtumia vzr
Jorginho anafahamika Kama master pass ,kwa System ya Arsenal Cha Kwanza Ni kutunza Mali ,kuregain possession ,
Jorginho hapo ndio kafika