Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Usajili wa Jorginho utatusaidia kuchukua ubingwa wa ligi msimu huu maana atakuwa option nzuri ya partey au baadhi ya game kama za Europa anaweza akawa anaanza yy na Xhaka.

kwa usajili wa mwaka Mmoja sio mbaya then summer tunaingia kuchukua midfielders wa maana na right winger Kwa ajili ya kusaidiana na Saka.

Arteta ndio kampendekeza Jorginho Kwa hiyo Sina wasiwasi na usajili huu na Kwa taarifa yenu Jorginho atang'aa sana hamtaamini Kwa wale wanaombeza
 
Tusubiri kuona hii ikitimia
 
Naenda na Arteta. Sijui kaona nini kwa Jorginho lakini ukweli ni kwamba Arteta katu-prove wrong sehemu nyingi sana alizofanya maamuzi..

Kuanzia kuondoka kwa Auba na Özil, kusajiliwa kwa Ødegaard, kuwaamini Saka, ESR, Martinelli na Nketiah, kuweza kumbadilisha Xhaka, n.k.

Kwahiyo mi nitakua mtu wa mwisho kuamini kama Arteta kakosea kumchukua Jorginho.
 
Jorginho remains a good player. My opinion on him is ' he is a good back up player at Arsenal '

Rather have Jorginho than Sambi Lokonga as a sub. Looking into experience + quality

His weaknesses i.e defensively can be masked by Arsenal system

Esp through ball retention

He will remain a liability in ground + aerial duels, on ball winning

But a huge positive when Arsenal possess the ball

He is a typical regista

I have no doubt he will do well but he will need legs alongside him to cover for his weakness OFF THE BALL

At Chelsea he had Kante ( monster in ball winning ) which helped him to perform his role much better

This is because he lacks physicality to go into duels

Caicedo was a better option for sure

PnP, monster in duels etc

Short term with an eye to Declan Rice in the summer? No problem for me
 
Ila hao brighton ni wajinga sana, hawajui kufanya biashara. Wakitegemea summer ndio watapiga bei wanajidanganya. Pia watakuwa wamemdhoofisha huyo kijana wa watu, kuna uwezekano asicheze tena vizuri kwani juhudi yake yote imeishia uvunguni mwa Brighton. Naomba hao jamaa washuke hata daraja msimu ujao.
Brighton kwa maamuzi yao wapo Sahihi.

1.Malengo yao ni kucheza Europe msimu ujao, watakuwa ni wajinga kuweaken kikosi chao katikati ya msimu.

2. Ni Player power vs Club Power.

Mchezaji ametangaza hadharani anataka kuondoka, wakati msimu bado unaendelea.
Wakikubali wanajiweka kwenye mazingira magumu huko mbeleni.

Halafu kwanini asicheze vizuri, wakati ni miezi mitano tuu imebaki na anaweza kuondoka.
Na atakuwa na Options za Vilabu Vingi( mshahara mnono).

Brighton kushuka Daraja utasubiri sana.
 
Naenda na Arteta. Sijui kaona nini kwa Jorginho lakini ukweli ni kwamba Arteta katu-prove wrong sehemu nyingi sana alizofanya maamuzi..

Kuanzia kuondoka kwa Auba na Özil, kusajiliwa kwa Ødegaard, kuwaamini Saka, ESR, Martinelli na Nketiah, kuweza kumbadilisha Xhaka, n.k.

Kwahiyo mi nitakua mtu wa mwisho kuamini kama Arteta kakosea kumchukua Jorginho.
Xhaka na Jorginho Ni wachezaji ambao Arteta anasema waliwahitaji Sana akiwa city na Pep

Alipofika Arsenal alimwambia Xhaka naomba usiondoke najua nitakavyokutumia , nikiwa city tulikuhitaji Sana,
 
Brighton kwa maamuzi yao wapo Sahihi.

1.Malengo yao ni kucheza Europe msimu ujao, watakuwa ni wajinga kuweaken kikosi chao katikati ya msimu.

2. Ni Player power vs Club Power.

Mchezaji ametangaza hadharani anataka kuondoka, wakati msimu bado unaendelea.
Wakikubali wanajiweka kwenye mazingira magumu huko mbeleni.
Tayari wako kwenye mtego, mchezaji asiyekuwa happy hawezi kuipa timu mafanikio. Tunza hii coment yangu sidhani kama Caisedo atacheza tena kwa moyo. Ungeisoma ile Intagram post yake ungejifunza jambo. Bora hata basi wangemboreshea posho yake. Unamlipa mtu paundi 3,600 wakati angeenda Arsenal au Chelsea angelipwa Paund 100,000/++. Ada ya mauzo ingewasaidia wao kupata wachezaji wa kuimarisha timu zaidi ya kubaki na mchezaji asiye happy
Huu ni uonevu wa mchana
 
Palace si wanakosea kumfuata huyu jamaa? Zile shida zake akiwa kwetu akipeleka kwao si watashuka daraja?
Hana shida kubwa kivile ni vile kaamua kubaki hapo.,na project ipo kasi inamuacha

Matatizo yake ni mawili tu
1: Poor Positioning
2: Decision making

Kwa vitu vingine huyu anawazidi watu wengi tu sema mpira wa kisasa unakutaka kwanza umalizane na haya mawili kwanza mengine yatapita tu kiwepesi.

Huyu mjinga anapiga pass nzuri sana lkn zinapigwa zikiwa zimechelewa

Kwa Palace atacheza vzr tu
 
Duuuh!!!Kuna mwamba katoka kunambia haya jana!!
Ben Cheupe(kama wanavyomwita mashabiki wa timu pinzani) arudi kiungo, then Tomiyassu apige mbili.
Mtu mwenye akili timamu yeyote huu ndio mfumo alternative, unamtumia Ben White kwenye mechi zenye physicality kama Crystal Palace, Southampton na Brentford.

Huku mechi nyingine anatumika Zinchenko na Kiwior hii ndio maana ya backup, Partey na Xhaka bado hawajaumia wala kuwa suspended.

Imebaki michezo 26 hivyo ikitokea leo asianze Partey hadi msimu unaisha hao wachezaji watatu kila mmoja atacheza michezo 8 katika mashindao mawili.

Jorginho is the worst deal in history of this club and also is a sabotage plan, Edu hastahili kuwa Arsenal kuanzia tarehe 1 February!
 
Bado sijaona kitu kuhusu Jorginho Arsenal.com hivyo siweki high hopes
 
Jorginho is the worst deal in history of this club and also is a sabotage plan, Edu hastahili kuwa Arsenal kuanzia tarehe 1 February!
Why kwenye signing nzuri mnamsifia Arteta alafu kwenye majanga mnamuweka Edu? Hivi si Arteta ndio alimsajili Willian na Tavares? Nadhani tusimfanye ni malaika hapa kachemka ila nampongeza kwa ujasiri huu na kuacha kiburi kilichotucost last january
 
Mbona Jorginho anampita Partey kwenye idara nyingi tu na sisi Chelsea tulimuona kama ndie hafai pale katikati? Takwimu saa nyingine bana, acha tu. Nadhani inayomuangusha Jorginho ni mistakes anazofanya na back passes nyingi
1675164648301.png
 
Mbona Jorginho anampita Partey kwenye idara nyingi tu na sisi Chelsea tulimuona kama ndie hafai pale katikati? Takwimu saa nyingine bana, acha tu
View attachment 2501309
Umeona Sasa lembu , wachezaji Kuna muda wanakuwa ovyo sababu ya System

Kwangu Jorginho nimefurahi kuja ,hata Partey asipocheza Bado nitakuwa na uhakika wa point 3
 
Back
Top Bottom