Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wewe ndiye mwenye mihemko, kila andishi lako humu limejaa mihemko, nimewahi kukuambia unahitaji kusikia tu Arsenal imesajili pasipo yakutumia akili nani anasajiliwa. Toa boliti kwenye jicho lako!

Kila anayatakiwa wewe husema ni mzuri, atatufaa na bla bla bla nyingi sana, sasa hivi kila sehemu ya Jorginho unaandika "Arteta Alimtaka"!

Lokonga sihesabu kama mchezaji, hakukuwa na ulazima wa kuchukua Jorginho the worst and older player wakati kuna options zaidi.

Hata Sanchez aliwahi kuwa top 5 kwenye Ballon'dor list na alikuwa kuwa claimed kama 3rd best nyuma ya Messi na Ronaldo akiwa Arsenal.
Cry more , Jorginho kashatua

kashapewa jezi no 20 ,amejiunga na wachezaji wenzake Mazoezini kujiandaa na mechi Jumamosi na Everton
 
Wewe ndiye mwenye mihemko, kila andishi lako humu limejaa mihemko, nimewahi kukuambia unahitaji kusikia tu Arsenal imesajili pasipo yakutumia akili nani anasajiliwa. Toa boliti kwenye jicho lako!

Kila anayatakiwa wewe husema ni mzuri, atatufaa na bla bla bla nyingi sana, sasa hivi kila sehemu ya Jorginho unaandika "Arteta Alimtaka"!

Lokonga sihesabu kama mchezaji, hakukuwa na ulazima wa kuchukua Jorginho the worst and older player wakati kuna options zaidi.

Hata Sanchez aliwahi kuwa top 5 kwenye Ballon'dor list na alikuwa kuwa claimed kama 3rd best nyuma ya Messi na Ronaldo akiwa Arsenal.
Hamnaga shukrani nyie , nyie mnajua kuliko Arteta na Edu [emoji780]
 
Mmegawanyika, baadhi yenu mnaona Jorg ameshaisha Hana lolote jipya Tena ,,,,

Chelsea kule alikuwa anatukanwa kila siku, Hana pace, back passes kila Mara, mistake nyingi zinaanzia kwake n.k n.k !

Swali , kwa mnaomkubali, kwa Nini mnatumia nguvu nyingi kumtetea ?

Binafsi naona kwa kipindi hiki ambacho mo Ni majeruhi, Sambi haeleweki Ni back up nzuri kwa Thomas,,,, ila mjue jorg wa sarri sio huyu wa sasa hivi ,,, !
hawajitambui na ukichunguza hao hao ndowalikua wanasema ARTETA out kipindi kile
 
Kwa mara nyingine tena wanaume wa London tunawapa kijana wetu Jorginho ili tuendeleze utamaduni wetu wa kuwaonjesha ladha ya UCL baada ya kufanya hvy kwa David Luis
 
News via @MattWoosie that Albert Sambi Lokonga will undergo a medical with Crystal Palace this afternoon.

Have to say, very intrigued to see how he gets on there. Manager knows a thing or two about playing in midfield.

@TheAthleticFC [emoji837][emoji836]️ #AFC
 
Arsenal's bid for Moises Caicedo is off, for now, with the Gunners trying to maintain a relationship with Brighton for a potential summer move #Arsenal
 
CONFIRMED

Arsenal confirm Mohamed Elneny will be sidelined for an 'extended period' due to a knee injury, for which he's had surgery. Sounds like an ACL.

Wish him well. A solid professional, and a good guy.

[emoji109]
 
[emoji2788]| @FabrizioRomano:

“We can say Jorginho to Arsenal ‘Here We Go,’ the deal is DONE, signed, everything is completed.

“Jorginho did the medical tests and signed the contract till June 2024 with an option until 2025. Arsenal paid £10m, plus £2m add-ons.” [YouTube] #afc
 
Wewe ndiye mwenye mihemko, kila andishi lako humu limejaa mihemko, nimewahi kukuambia unahitaji kusikia tu Arsenal imesajili pasipo yakutumia akili nani anasajiliwa. Toa boliti kwenye jicho lako!

Kila anayatakiwa wewe husema ni mzuri, atatufaa na bla bla bla nyingi sana, sasa hivi kila sehemu ya Jorginho unaandika "Arteta Alimtaka"!

Lokonga sihesabu kama mchezaji, hakukuwa na ulazima wa kuchukua Jorginho the worst and older player wakati kuna options zaidi.

Hata Sanchez aliwahi kuwa top 5 kwenye Ballon'dor list na alikuwa kuwa claimed kama 3rd best nyuma ya Messi na Ronaldo akiwa Arsenal.
Mkuu haina haja ya kutumia harsh language, kwani wewe ulikuwa unapendekeza option ipi tofauti na Jorginho Kwa mtazamo wako?
 
MANENO YA MIKEL MWAKA 2019 akiwa City

[emoji860] Mikel Arteta:

“Our position has changed. There are teams that want to play with a single defensive midfielder...

Not City. Other teams that role is not as defined and we are losing the idea of having one who plays there – the Jorginho or Busquets type, that I love...”

#MCFC
IMG_20230131_164851.jpg
 
Kwangu mimi naona arsenal kalamba dume.
sababu inaonifanya kwangu nione arsenal kalamba dume kwa jorginho kwanza jamaa ukicheki record yake ya misimu iliyopita alikuwa moja ya viungo bora ulaya iweje leo ashuke mapema hivi.

hapa tuseme tu na motisha ya timu ya chelsea kwa wachezaji imeshuka sana joginho watu wana mtupia lawama za bure tu.

Nachojua arsenal kwasasa timu motisha yake ipo juu inaweza kusaidia kupush kuludi kiwango cha jorginho yule wa misimu miwili iliyopita.

hapa tunaweza kusema muda ndo mwalimu mzuri kwangu naona kwa arsenal ilivyo saizi jorginho ni mchezaji sahihi kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom