Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,395
- 6,553
Arteta anafeliYuda mbona mmeshusha thamani dada Jorgina kiasi hicho?
bora hata yule mnyakyusa lokonga kuliko huyu kibabu
Arteta anafeliYuda mbona mmeshusha thamani dada Jorgina kiasi hicho?
Malezi ya pande mbili yamekosena hapa, hawa watoto wa kupatikania nyumba za wageni ni janga kwa taifa.wewe umeshatoa ngapi kule MAN U??au umekalia UCHOKO tu??usilete UCHOKO wako humu,hatuhitaji MITARO
| @FabrizioRomano on Arsenal:Unajua kati ya mashabiki wanaoleta lugha za kihuni humu jukwaaani we unaongoza?Malezi ya pande mbili yamekosena hapa, hawa watoto wa kupatikania nyumba za wageni ni janga kwa taifa.
Mashabiki wa aina hii ndio wanaifanya Arsenal ionekane ni timu ya hovyohovyo na pia ndio wanaoitia gundu timu mpaka inafika 20 years bila kuchukua Epl.
Yeye anaongoza, wakimjibu ovyo ,anakimbilia oho mashabiki wa Arsenal Wana matusiUnajua kati ya mashabiki wanaoleta lugha za kihuni humu jukwaaani we unaongoza?
Huu ni ukweli mchungu sana ndugu yangu allypipi hawa vijana wa humu hawapendi kabisa kusikia ukweli wa namna hii.Hizi arsenal ndo kusema amna hela au nyie kila mchezaji ni kulialia nae tu yani timu kweli aina record yakumnunua mchezaji hata wa pound 90 hivi mpo serious kweli nyie.
Cha ajabu mnaumia eti man u tumepigwa kwa Antony kama nyie hamuwezi kutoa hela kuna watu wanatoa na maboss zenu wa endelee kufanya utani kesho dirisha la usajili linafungwa na unajua kuna wachezaji wanachezaga vizuri dirisha likifunguliwa ili wasiwekwe pembeni ngoja dirisha lifungwe mtafurahi.
Tuache utani kuwa na boss kama wa the blues raha sana yani vile mashibi ndo tunapendaga maana hela hatutoi sisi kazi ya boss ni kuwafurahisha mashabiki wake.

Mzee baba unashinda humu unajadili usajili wa ArsenalHuu ni ukweli mchungu sana ndugu yangu allypipi hawa vijana wa humu hawapendi kabisa kusikia ukweli wa namna hii.
Wanakazania tu sisi hatupigwi hela hiyo utafikiri hio hela imetoka kwenye mifuko yao, hawajui wasipopigwa hio hela na wachezaji basi wanapigwa pesa nyingi zaidi na Kroenke's family inayopatikana kama faida ya timu.
Hayo mambo ya kupigwa au kutopigwa walitakiwa wayaongelee mabosi wa hizo timu sio nyie mashabiki wa yombo vituka ambao tokea mzaliwe hamjawahi hata siku moja kununua japo jearsy original ya timu ili kusupport mapato ya club.


Sawa mimi najijua naongoza kwa lugha za kebehi na dhihaka lakini sio mitusi michafu ya direct.Unajua kati ya mashabiki wanaoleta lugha za kihuni humu jukwaaani we unaongoza?

#DeadlineDay
Ila hao brighton ni wajinga sana, hawajui kufanya biashara. Wakitegemea summer ndio watapiga bei wanajidanganya. Pia watakuwa wamemdhoofisha huyo kijana wa watu, kuna uwezekano asicheze tena vizuri kwani juhudi yake yote imeishia uvunguni mwa Brighton. Naomba hao jamaa washuke hata daraja msimu ujao.Hata 3rd offer WATAKATAA
.@David_Ornstein on the @TheAthleticFC Live show:
The suggestion I keep hearing is the Caicedo deal is NOT happening. Arsenal went all in for him so there will be of course disappointment.
Marquinhos’ loan move to Norwich from Arsenal will be confirmed shortly. 6-month straight loan. He will wear the number 13 shirt for the Canaries.
#DeadlineDay
Arteta toka anafika Arsenal alimtaka Gorginho ,Sina shida na Jorginho
Uchezaji wake mbaya kwa baadhi ya mechi za Chelsea inaweza kuwa mifumo ya makocha, waliomzunguka nk
Ila ukweli ni huu Arteta akiweza kumguide aache tabia ya kukaa na mpira kwenye mazingira ya hatari hadi ananyanganywa na kusababisha unnesesary counter attack kwa opponent basi anaweza akawafaa sana kwa short term plan. Ni short pass passer mzuri, anaweza pia kupiga long passes, sijamuona akipiga through passes za kubreak lines. Tabisa nyingine ni too much back passes na saa nyingine hizo back passes anapiga hata bila kuangalia zinaishia kwa nani?
So Arteta anakazi ya
1) Kumuwezesha aache kukaa na mpira hadi anyang'anywe na opponent
2) aache tabia ya kupiga back passes kiholela
Akisolve hizo changamoto mbili atakuwa good signing
Arsenal advancing towards agreement to sign Jorginho from Chelsea. 31yo Italy midfielder now most likely #DeadlineDay recruit. Acceptance at #AFC that Brighton stance on Moises Caicedo means pursuit of 21yo Ecuadorian is over @TheAthleticFC #CFC #BHAFC


