Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sina shida na Jorginho
Uchezaji wake mbaya kwa baadhi ya mechi za Chelsea inaweza kuwa mifumo ya makocha, waliomzunguka nk
Ila ukweli ni huu Arteta akiweza kumguide aache tabia ya kukaa na mpira kwenye mazingira ya hatari hadi ananyanganywa na kusababisha unnesesary counter attack kwa opponent basi anaweza akawafaa sana kwa short term plan. Ni short pass passer mzuri, anaweza pia kupiga long passes, sijamuona akipiga through passes za kubreak lines. Tabisa nyingine ni too much back passes na saa nyingine hizo back passes anapiga hata bila kuangalia zinaishia kwa nani?
So Arteta anakazi ya
1) Kumuwezesha aache kukaa na mpira hadi anyang'anywe na opponent
2) aache tabia ya kupiga back passes kiholela
Akisolve hizo changamoto mbili atakuwa good signing
Kilichonivutia Kwa Jorginho alivyokuja kwenu ni long balls na line breaking passes out from deep. Alikuwa muanzisha counters mzuri sana. Anapokea pasi Kwa beki, anageuka anapeleka through ball Kwa striker ama winger. Martinelli, Saka, Trossard au Nketiah na Jesus watazifurahia hizo. Labda kama makocha wamembadili ila mie niliona hiyo ilikuwa strength yake nilivyomuangalia misimu kadhaa iliyopita. Tunaomba aje yule.
 
Cech (BAKU)
David Luiz
Willian
Jorginho

Tukutane May kwa mahesabu
Sikuona tatizo kwa Cech
David Luiz aliisha hapo mlikosea
Wilian mlikosea kumpa mktaba mrefu, huyo alifaa mkataba wa mwaka mmoja, si unaona Fulam anavyocheza vizuri
Jorginho atawasaidia kuliko msingekuwa na backup ya Partey na Arteta kamchukua kwa maana hiyo hiyo baada ya dili la Caicedo kufeli na muda haupo tena
 
Lokonga anakusalimia..... Arsenal hamuwezi kuwa a top club na wachezaji wenu wa mafungu. Jorginho anakuja kuongeza tu idadi ya wachezaji mlionao.

Au mtamtumia kwenye Cup games..... aaah! kumbe mmetolewa kote.
Ninachojua hakuna kombe mtabeba msimu huu,

Timu yenu haiwezi kusajili hivo unakuja humu kupoza

Lokonga kwa manyua anacheza,kwa Arsenal 3rd choice

Whoscored wanasema Ni wachezaji wawili kutoka unyumbuni wanaingia kikosi Cha Arsenal

Why lokonga Kwenu asicheze
Screenshot_20230122-164041.jpg
 
Huenda ndiyo akapata nafasi ya kung'ara na kupata uzoefu wa ligi na tamaduni za England vizuri huko. Akija msimu ujao anakuwa wa moto.
Huyo dogo sikupenda aondoke, akipewa game time, saka anaweza kukaa. Kwa mtizamo wangu, msitukane
 
Sikuona tatizo kwa Cech
David Luiz aliisha hapo mlikosea
Wilian mlikosea kumpa mktaba mrefu, huyo alifaa mkataba wa mwaka mmoja, si unaona Fulam anavyocheza vizuri
Jorginho atawasaidia kuliko msingekuwa na backup ya Partey na Arteta kamchukua kwa maana hiyo hiyo baada ya dili la Caicedo kufeli na muda haupo tena
Kule Baku kabla hawajaanza na Cech waanze na kocha Kwanza Emery

Mbinu ovyo ndio maana alitimuliwa mapema tu
 
Ninachojua hakuna kombe mtabeba msimu huu,

Timu yenu haiwezi kusajili hivo unakuja humu kupoza

Lokonga kwa manyua anacheza,kwa Arsenal 3rd choice

Whoscored wanasema Ni wachezaji wawili kutoka unyumbuni wanaingia kikosi Cha Arsenal

Why lokonga Kwenu asichezeView attachment 2501225
Nyie endeleni kupinga ukweli ila Arsenal kila dirisha mnashindwa kupata top targets mnahamia kwenye wachezaji wa mafungu.

Martinez
Raphinha
Mudryk
Caicedo

Wote ni wachezaji wazuri mmewakosa, top players ndiyo kitu Arsenal mnakosa. Ile defence yenu yenyewe inahitaji improvements.
 
Chelsea are letting players out today, but so are Arsenal and Crystal Palace are close to finalising loan move for Albert Sambi Lokonga.

90min.com/posts/transfer…
 
Dah ikishindikana iatabidi achukuliwe ivan fresnada toka spain acheze RB kisha ben white acheze kiungo.tuliambiwa hawa wachezaji ni "versatile "ni muda sasa tuone uwezo wao wa kunyumbulika
Duuuh!!!Kuna mwamba katoka kunambia haya jana!!
Ben Cheupe(kama wanavyomwita mashabiki wa timu pinzani) arudi kiungo, then Tomiyassu apige mbili.
 
£12?

Hapana tuongezeeni ifike 20M.

Tunawauzia mashine ya kazi.

Injury free na atafanya vizuri kwenye mfumo wenu wa pass nyingi.

Pass nyingi ndio chakula cha Jorgnho.
Sisi ishu siyo pass nyingi tu Bali tumiliki mpira na tuingie 18 za timu pinzani na kupiga mabao mengi. Alete magoli mengi sana pia
 
Back
Top Bottom