Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,842
- 16,292
Mkuu Aaron Arsenal mimi hata siku moja sijawahi kulalamika humu nikitukanwa, sanasana hua nampa na like kabisa yule alienitukana ili auhisi ujinga wake.Yeye anaongoza, wakimjibu ovyo ,anakimbilia oho mashabiki wa Arsenal Wana matusi
Nikilalamika humu hua inahusu matusi ya wenyewe kwa wenyewe au mtu mwingine yoyote.
BREAKING: Arsneal and Chelsea have provisionally agreed a deal on Jorginho for a fee of £13m, as per @MiguelDelaney.
️
#AFC
Haka katimu pamoja na mashabiki wake wanataka wamtumie Jorginho kwenye mbio za ubingwa.
