[emoji2403]USARA ZA GWIJI LA HIGHBURY
[emoji1600] Ni Mapema Ndio Lakini nimeona potential kubwa kwa
Trossad jana kwenye misingi hii hapa
[emoji1600] Niliwahi sema Mpira una
Basics zake japo delivery inatofautiana kulingana Mchezaji na mchezaji ndio maana Uchezaji Zinchenko na Tierney kuna tofauti japo basics za Mpira ni zile zile
[emoji1600] Trossad Ni mzuri kwenye ukokotaji mpira na kupunguza mabeki wawili watatu kutafuta space ya kufunga its means sio
Limited
[emoji1600] Pia Maamuzi ana maamuzi ya haraka afanye nini na mpira hii ni
basics ila jamaa anaifanya kwa ufasaha mno
[emoji1600] Kitu ambacho Trossad anahitaji kwa sasa anahitaji
pattern sahihi kati yake na beki atakae cheza upande kushoto au LCM kama atachezeshwa LW
[emoji1600] Kwanini nasema hivyo ili kuepeusha mazingira kuwa
Isolated sana ata akipokea mpira hakuna mtu karibu wa kufanya nae Link up kwenye game jana
[emoji1600] Anahitaji kuingia vizuri asa kwenye starting line up set ambayo mara nyingi Xhaka anacheza advanced LCM kumpa support kwa upande kushoto pia Zinchenko anavyocheza
overlaping au
inverted kuwepo na Angle nzuri kupatikana patterns au Jesus arudi wawe wanafanya
positional interchange nawambia tuta enjoy sana uyu jamaa niishie hapa kwa leo
View attachment 2498437