Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Kama umeangalia mechi ya leo ,City Ni mweupe Sana
Sipati picha pale Emirates atatokea wapi
Ondoa ushabiki umeona kuna timu pale ya kuifunga arsenal nje ndani??Siti mweupe sana wakati tayari ameshakuchomeka ukuni?
Jikazeni watoto wa kiume acheni kulialia, kuna mechi zaidi ya 30 zinawasubiria kabla ya kumalizika msimu.
Hizo mechi 30 unazitoa wapi aiseeSiti mweupe sana wakati tayari ameshakuchomeka ukuni?
Jikazeni watoto wa kiume acheni kulialia, kuna mechi zaidi ya 30 zinawasubiria kabla ya kumalizika msimu.
Hawa wanatafuta ahueni maana Timu zao papatupapatu kibaoOndoa ushabiki umeona kuna timu pale ya kuifunga arsenal nje ndani??
Mnaangalia mpira au sijui Ni ushabiki tu ,Siti mweupe sana wakati tayari ameshakuchomeka ukuni?
Jikazeni watoto wa kiume acheni kulialia, kuna mechi zaidi ya 30 zinawasubiria kabla ya kumalizika msimu.
Hivi kwa akili ya kawaida tu boss Miluzi atawaacha salama kwa Caicedo?I think tunaweza maliza dili la Caicedo ,Kuna asilimia kubwa ...Arteta anajua chakufanya
Hawa Haters ndio walidai tumekwisha kwa kuumia Jesus,
ndugu yngu kmbe n wewe arsenal damu
Arsenal hatunaga option moja sokoni aisee, mbona hili hamuelewi IHivi kwa akili ya kawaida tu boss Miluzi atawaacha salama kwa Caicedo?
Sawa mkuu lakini sisi tunachojua beckham kabeba mataji hakiwa na Manchester hayo mazoezi hata usain bolt anakujaga kupasha OT.Beckham mzaliwa wa London , mazoezi alikuwa anafanyia Arsenal ,
Thus why Cameo mwanae Ni Arsenal fans
Kuna maneno pia Beckham Ni Arsenal fan ,aliondoka akiwa mdogo kwenda jiji la Manchester kucheza mpira
View attachment 2497965
Hawa Nyani ni one season wonder, hamna kombe watalopata msimu huu zaidi ya kuongoza ligi kwa kipindi kirefu, hayo ndio mafanikio yao makubwa.Arsenal FA ndo kombe lenu na ndo mmetolewa kwaiyo poleni sana tuonane mwakani ndo mmetoka bila kombe hivyo.
Jipangeni upya tu kwa ajiri ya mwakani kama kombe lenu la bahati hamkuwa serious nalo ndo byebye mpaka mwakani kupata kombe
Arteta kakalia puto ni vile hajui tu muda wake wa kupasuka.Mnaangalia mpira au sijui Ni ushabiki tu ,
Kuna Timu umeona pale ya kutoka Emirates?
Cha kumsifia Jana Pep Ni depth ya kikosi tu.
Kwa Caicedo ni mnapoteza tu muda wenu, bora mmalizane na huyo Zubeda kabla dirisha halijafungwa.Arsenal hatunaga option moja sokoni aisee, mbona hili hamuelewi I
Hivi kwa kiwango anachoonesha Trossard Nan anamuwaza mudrky?
Kama mnamchukua caicedo kwa kuingilia hili dili mjiandae €100m
Halafu Sisi tunaenda kumchukua Zubimend ana release clause ya €60m tu
Namzungumzia caicedo,hana iyo thamani,ndo kama ilivokua dili ya cucurela,hakuwa na ile thamaniHuyo Ni muingereza? Huoni kwani pesa unatoa wewe?
Unamzunguzia MUDRKY ,humuoni Trossard?