Sijui kwanini kocha kamtoa partey. Lokonga bado sana. Bora hata angeingia zichenko.
Na AKE alivyomdhibiti sakaTomiyasu beki mzuri sana kukaba mtu 1 vs 1. Mahrez mpaka ametolewa.


dogo kagusa mpira sijui mara tatu tuu. 



Saka hajaonekana sana kwasababu Odegaard hakuwepo kusambaza mipira. Vieira hawezi kunyumbulika.Na AKE alivyomdhibiti sakadogo kagusa mpira sijui mara tatu tuu.
![]()
HahahahaKwahiyo mnasema kwenye ligi bado hamjakutana na City? 😂
Hawajawahi kuifunga City EPL tangu 21/12/2015Kwahiyo mnasema kwenye ligi bado hamjakutana na City?![]()

Mbn yuko fuleeshi anaupinga mwngSub ya partey imetugharimu,
Timu haikabi na inapoteza mipira katkat
Huyu dogo mweusj hamna kitu kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hizo mechi mbili za ligi wanapasuka zote.Kwahiyo mnasema kwenye ligi bado hamjakutana na City?![]()
Naona Arteta aliamua kulinda key playersSub ya partey imetugharimu,
Timu haikabi na inapoteza mipira katkat
Huyu dogo mweusj hamna kitu kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahaNa hizo mechi mbili za ligi wanapasuka zote.
Kwa maon yangu angemtoa tieney aingie zinchenko kama alvfny,then vieira atoke aingie martinell,saliba sahh trossard angeenda kucheza atacking middle upande wa odegaardNaona Arteta aliamua kulinda key players
Kumtoa Partey na Saka hawa replacement zao hazipo