Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Manchester wanawanga hapa wakisaidiwa na Chelsick khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

BTW Nadal amefanya vitu vyake kule Barcelona ..... ........ ...... ...... ....... ...... 6 titles

Nimemuona Nadal Mkuu lakini yule Djokovic anataka kumnyang'anya number. Mwaka huu kaanza vizuri sana anakarivibia kuvunja rekodi iliyowekwa 1986 ya kucheza mechi 25 bila kufungwa. Kama sikosei Djokocic ameshacheza mechi 23 hivyo anahitaji mechi 2 tu kutie that record na mechi tatu kuivunja kitu ambacho hata wakongwe akina Sampras na Agassi hawakuwahi kukifanya.
 
Sijui wanataka kufunga goli la aina gani tu hawa jamaa..... Pasi milioni goli hakuna........
 
what a pathetic game from Arsenal...!!.. pasi nyingiiiii... hii timu itakuja kinipa ugonjwa wa moyo
 
Khe khe kheeeeeeeeeeeee hata siku huchezi unakuja kuwanga?








Bado unagawa vikombe wakati wa sikukuu?





Nasikia mnasubiri kipenga cha mwisho khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeee
Nawasubiri niwape kikombe maana najua mtakuwa na hali mbaya
 
goli la kwanza ilikuwa kutokuelewana nasri na kipa.. goli la pili hivohivo...
 
Gooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
haya tena.... msimu ndo umeisha... tumechapwa hii game........ Naona AW atoke na aje mwingine mwenye idea tofauti........ Upuuzi mtupu....
 
JackWilshere4_2587706.jpg

Kwa heri ya kuonana
 
Back
Top Bottom