Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Another holly hijack:
Danjuma to Tottenham Hotspurs - Confirmed
1674659669337.png
 
[emoji599] Arsenal rejects AS Monaco’s approach to take Albert Sambi Lokonga on loan. Reports, @MailSport.

[emoji599] There are fears at Arsenal that Mohamed Elneny has sustained a long-term injury, according to Simon Jones.
 
KUNA HOFU HUENDA JERAHA LA MOHAMMED ELNENY LIKAMUWEKA NJE HADI MWISHO WA MSIMU

Mail: There are fears the knee problem suffered by El Neny in training could keep him out for the rest of the season.
 
Acha tu waniite mamluki ila me naongea ukweli, points 8 Kwa pep ni ndogo sana labda kama aendelee kusua sua kama mwanzo

Mfano game ya leo tungesuruhu zilikuwa zibaki point 3 na mchezo mmoja mkononi, tufanye huo mchezo tungeshinda zimekuwa points 6

Sasa unamzidi points 6 pep ambaye bado una game nae home and away, na wote tunajua ukweli ni kwamba city uwezo wa kutupiga anao, kwahiyo kama akishinda hizo game 2 ingekuwa tuna level points

Kama shabiki wa Arsenal nataka sana kubeba hii ndoo ila haitokuwa rahisi hivi kama ambavyo tunataka kujifariji, pep kama kocha mzoefu kuliko wetu na wachezaji wake Wazoefu kuliko wetu

Kuanzia game ya tote city ni kama vile wameamka Fulani hivi na ikitokea waka maintain consistency kuanzia hapa hadi mwisho sio ajabu wao wanaweza, swali je nasie tunaweza?

Tunaweza kucheza under pressure kila game bila kupoteza focus yetu? Tunaweza kumantain hii form hadi mwisho? Tunaweza kuendelea kuwa na focus ata kama ikitokea tukapoteza game kadhaa?

Ukweli ni kwamba haiwezi kuwa rahisi ila kwakuwa hatujafika hapa kwa bahati mbaya basi batuna budi kukomaa tu hadi game ya mwisho, ila ukweli utabaki kuwa sio rahisi kama ambavyo tunataka kuaminishana
Nawe umekomaa tu sio rahisi sio rahisi kwani kuna mtu amesema ni rahisi?????
Kwani hao city uwezo wa kuwapiga sisi hatuna,!!!!???unapokuwa katika mapambano hutakiwi kuwa na fikra hizo,hapo unafail totally....
Ukisema SIWEZI basi kaa ujue HUTOWEZA KWELI...

Haya ni mashindano na lazma kuwepo na uhamasishaji,mwambie mshindani kuwa anaweza na atashinda ili awe na ari ya upambanaji sio kukatisha tamaa,
wewe hufai kuwa kocha,hufai kuwa mwalimu,darasa lako litafeli tu...
Mwambie mwanafunzi wako kuwa unaweza,nakumbuka kipindi nipo sec pale kinondoni mwalimu wangu wa math alikuwa anasema A ya math inawezekana,kwani hao wa Feza sec wana vichwa vitatu si kimoja kama wewe?komaa,huku tukijua kuwa huwezi kulinganisha Feza sec na Kino sec ni mbingu na ardhi ktk nyanja zote........
 
Kwangu Mimi bada naona Tomiyasu ndio namba mbili wetu bora na Tierney namba tatu wetu bora. Zinchenko namuona kama midfielder zaidi na ana perfome vizur Kama tukiwa tunashambulia, Kama tunashambuliwa awi mzuri sana kwenye kudefend kama namba tatu so ukiachana na mambo ya technical kimajukumu ya namba tatu Tierney yuko mile ahead kwa zinchenko hayo n mawazo yangu,
White ile perfomce yake msimu ulio pita bado unambeba lakn sijaona Kama amemzid sana Tomiyasu, kilichomshusha Tomiyasu n yale majeruhi
Overall natamani beki zibak kama zilivo asiondoke ata mmoja quality na kikosi kipana ni muhimu sana,
 
Kwa Arsenal tunavyocheza ,hasa msimu huu ...tunamuhitaji Sana Zinchenko
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom