Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwahiyo inter milan na chelsea ipi ni timu kubwa?????
Acha kashafa wewe bro, Chelsea ni ya kuilinganisha na vitimu vya Itally vilivyojifia kiaina. Chelsea inalinganishwa na Bayern, Real Madrid, PSG, Barcelona ya mwaka juzi, Manure, Liverpool na Man city
 
Pep Guardiola said Mikel Arteta celebrated every Man City goal whilst at the club, besides the ones against Arsenal.

"He's a supporter of Arsenal. Always he jumped and celebrated except one team. I'd jump and when I turned round he was sitting there. That team was Arsenal."

[@cityreport_]

IMG_20230126_164632.jpg
 
Huu uzi kila mara uko juu kwenye new posts,maana kila kitu sasa hivi kwenu ni news kisa mnaongoza ligi kwa point 8!
Na ujuaji nao umeanza kuwajaa kama liverpool ya msimu wa corona,punguzeni mbwembwe wakuu.
 
Acha kashafa wewe bro, Chelsea ni ya kuilinganisha na vitimu vya Itally vilivyojifia kiaina. Chelsea inalinganishwa na Bayern, Real Madrid, PSG, Barcelona ya mwaka juzi, Manure, Liverpool na Man city
haka katimu kalikokaa miaka 50 bila kombe?????
Haka katimu kalikoibuka mid 2000's????
Baada ya Roman na Jose kukatoa machokoroni????yaani 2000 kushuka haka katimu hakajakuwa underdog ila kalikuwa sawa na Preston North End kwasasa....

Ww ni bwana mdogo ktk soka yaonekana,ni sawa na mtu aibuke leo aipambe Azam FC kuwa ni timu kubwa...
 
Huu uzi kila mara uko juu kwenye new posts,maana kila kitu sasa hivi kwenu ni news kisa mnaongoza ligi kwa point 8!
Na ujuaji nao umeanza kuwajaa kama liverpool ya msimu wa corona,punguzeni mbwembwe wakuu.
Acha roho mbaya ,yaani unaona tunafaidi Sana

Yaani hutaki Hata msahabiki wa Arsenal wajadili timu Yao kisa yote man u kabondwa na mpira mwingi ,

Roho mbaya ya Nini

Arsenal ikifanya vibaya mnajazana humu

Ikifanya vzr hamtaki mashabiki wake wajadili humu

Sasa hivi kipindi Cha usajili ,Arsenal tupo Bado sokoni, man u mmemaliza usajili wa yule Babu

Hivo tegemea Arsenal fans kujadili timu Yao ,tuache roho za korosho
 
Back
Top Bottom