Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

ARTETA AOMBA KIUNGO

KUUMIA KWA ELNENY NI FAIDA AMBAYO KLABU ITABIDI IINGIE SOKONI KWA LAZIMA

New: Arteta eyes “more cover in midfield” as Elneny injury concerns grow

p1r.es/3XFzptK #arsenal #afc
 
Arsenal mlikuwa mkiwapa sana nafasi watoto tumeshuhudia mkikutana na nini?

Kwa takwimu arsenal ndo team kubwa kwa miaka ya karibuni kuchapwa goli nyingi inapokutana na wakubwa wenzie hata mechi mnayopigwa goli 6 na Chelsea nadhani ulijionea watoto wenu walifanya nini ile mechi.
Mimi nazungumzia Project ya Arteta ,hizo unazosema wewe Ni Wenger Era ambazo Zina mengi ndani yake

Nazungumzia miaka hii mitatu ya Arteta katika project yake aliyoiita THE ARSENAL WAY

Amewapa nafasi vijana wengi ,na kuleta wengine wadogo

Ndio maana Arsenal Ni timu yenye average ndogo kiumri ,Kuna muda tulikuwa na average ya miaka 24 , nadhani Sasa Ni 24.7-8 hivi .

Tumeiona man u preseason Ina vijana Wazuri tu wakupewa nafasi lakin kocha wenu muoga Sana ,
 
Hivi mkuu Aaron Arsenal mlikuwa na project gani na ngumu kiasi gani mpaka ikazuia nyie kutokuingia uefa kwa miaka yote iyo?
Wenger ameondoka ,timu akapewa emery ambaye huyu sikuwahi binafsi kumkubali Hadi kesho, huyu Ndiye alivuruga utamaduni wa klabu, hata Sera za usajili zilibadilishwa ,

Kwahiyo project ya huyu Emery ilikuwa mbovu Sana , hapa tulipoteza muda,

Ujio wa Arteta ulihitaji Mambo mengi kurekebishwa ,hapa tulipoteza muda mwingi ,

Arteta hii unayoiona Sasa Ni project ya 2 ndani ya miaka 3, alianza na project ya kwanza inataka kufanana na ya Kwenu Sasa , Alisajili wakongwe kina willian , akapambana kuwapa mikataba kina Auba ,

Hii project ilifeli vibaya ,ndani ya mwaka mmoja , haraka akaanza na moja na kuaamini vijana wadogo , ndiyo hii project ya Sasa ,
 
Mimi nazungumzia Project ya Arteta ,hizo unazosema wewe Ni Wenger Era ambazo Zina mengi ndani yake

Nazungumzia miaka hii mitatu ya Arteta katika project yake aliyoiita THE ARSENAL WAY

Amewapa nafasi vijana wengi ,na kuleta wengine wadogo

Ndio maana Arsenal Ni timu yenye average ndogo kiumri ,Kuna muda tulikuwa na average ya miaka 24 , nadhani Sasa Ni 24.7-8 hivi .

Tumeiona man u preseason Ina vijana Wazuri tu wakupewa nafasi lakin kocha wenu muoga Sana ,
Mkuu kocha wetu hayupo kufanya majaribio pale ndo maana anaanza kwa kuwaingiza kidogo kidogo uwezi kuanza tu kuingiza watoto wote kwa pamoja saizi tupo na garnacho hii yote ni kuakikisha kikosi chetu kinaenda sawa project inakuwepo na matokeo yana kuwepo.

Kwa dunia ya leo ya kumwaga mpunga sidhani kama mambo ya project ni yakuzingatia sana saizi watu wana mwaga tu mpunga kwa mchezaji wanaeona hata wafaa.
 
Wenger ameondoka ,timu akapewa emery ambaye huyu sikuwahi binafsi kumkubali Hadi kesho, huyu Ndiye alivuruga utamaduni wa klabu, hata Sera za usajili zilibadilishwa ,

Kwahiyo project ya huyu Emery ilikuwa mbovu Sana , hapa tulipoteza muda,

Ujio wa Arteta ulihitaji Mambo mengi kurekebishwa ,hapa tulipoteza muda mwingi ,

Arteta hii unayoiona Sasa Ni project ya 2 ndani ya miaka 3, alianza na project ya kwanza inataka kufanana na ya Kwenu Sasa , Alisajili wakongwe kina willian , akapambana kuwapa mikataba kina Auba ,

Hii project ilifeli vibaya ,ndani ya mwaka mmoja , haraka akaanza na moja na kuaamini vijana wadogo , ndiyo hii project ya Sasa ,
Madrid mpaka anabeba uefa mara 3 mfululizo sidhani kama kulikuwa na mchezaji kutoka academy pale kwamba ndo wa project kwamba ndo tumaini lao kwangu mimi naona saizi mambo yakutegema project zilipendwa.

Fanya kama Chelsea tu fukuza,uza leta fukuza mpaka tupate kombe unaweza kuniambia project ya chelsea ya miaka 10 iliyopita ni hipi na wana mafanikio kuliko Manchester na arsenal zenye zinalia na project kila siku.

Kwangu naona zama zakutegemea wachezaji wa academy tuziachie timu zenye hazina uwezo wa kusajili tu.
 
Madrid had anabeba UCL 3 tayari ilikuwa project ya muda mrefu toka enzi za Mourinho ,Carlo , zidane akaja kuingiza kina Asensio ,na hawakusajili Sana miaka hiyo mitatu

Hawakubeba UCL 3 kwa usajili wa madirisha mawili au matatu .

Hii fukuza sajili ,man u mmeifanya Sana , mwisho mmeamua kurudi kwenye misingi ya Soka, hata Pep GUARDIOLA ,Klopp wamejenga timu zao kwa misingi hiyo

Hofu yangu kwa project yenu ina wachezaji wengi ambao Ni uti wa mgongo 30+ , hii Ni hatari ,

Liverpool Klopp aliijenga kwa Vijana wengi , wazee wachache

Ndio maana project Yao Sasa inaishia kwa wachezaji zaidi ya 5 kuwa na 30+
 
Mimi kwangu naona project nzuri nikumpa coach wachezaji wake watao fiti kwenye mfumo wake tu.

Sio nyie mmechelewesha dili la mudryk mpaka yamewatokea yakuwatokea.

Kuwa kama pep tu omba hela kwa maboss sajili wachezaji watao kufaa hata mkienda nao msimu mmoja na mkabeba kombe sio mbaya kuliko kukaa miaka 19 bila kombe la ligi kama arsenal na miaka 10 kama Manchester bila kombe lolote huku tukijificha kwenye kimvuli kuwa tuna jenga timu.

Tujiulize Chelsea,Madrid,man city wanawezaje.
 
Faida waliyokuwa wanapata Chelsea ,walikuwa wanasajili ready made players wengi, na kuleta elite coaches ambao walikuwa hawapati kazi kuwaunganisha ,Lakini angalia miaka miwili ya mwisho walisajili timu ambayo ilikuwa suitable kwa cups tu Lakini kwenye Ligi ikawa inashindwa ,

Now wamerudi kulekule kuunda timu ya muda mrefu, ndio maana wanazingatia umri kwenye sajili zao
 
Kuhusu hao usijali kwanza nani kakwambia sisi tupo kujenga timu ya baadae saizi sisi tuna jenga timu shindani ya msimu huo sio inayokuja ya kesho yatajisumbukia.

Juventus kabeba makombe ya serie misimu 7 mfululizo hakiwa na vikongwe tu.
 
Hata Pep msimu wa kwanza alibidi ajenge timu pamoja na kusajili Sana ,Mpira kwasasa hauna short cut

Kwenye usajili Kuna kuwa na option zaidi ya 1 , tumemkosa mudrky Lakini tumempata Trossard ,

Hata huyo Pep Guardiola si alimtaka Cucurela ,je alimpata ? Alienda plan B Sergio Gomez , Kwahiyo usishangae Arsenal kumkosa mudrky , Wachezaji karibu 50% aliowasajili Arteta Ni Plan B Baada ya plan A kufeli ,

Yule Rodri pale City Ni plan B Baada ya Pep Guardiola kumkosa Gorginho aliyeenda Chelsea

Kwenye usajili sio kweli kila target utaipata ,chakwanza uwe na Plan B,C had D
 
Kuhusu hao usijali kwanza nani kakwambia sisi tupo kujenga timu ya baadae saizi sisi tuna jenga timu shindani ya msimu huo sio inayokuja ya kesho yatajisumbukia.

Juventus kabeba makombe ya serie misimu 7 mfululizo hakiwa na vikongwe tu.
Kwa Ligi ya Epl kwasasa na inakoelekea inazidi kuwa ngumu Sana ,usifananishe kabisa na Seria A au hata laliga

NEDVED anasema Kuna hatari hizi Ligi nyingine zikawa feeders kwa EPL

Maana Forest, Westham ,wolves wanatumia €160m+ sokon

Hii Ligi huwez ku survive bila mikakati
 
NIMETOKA KUONGEA HIKI KITU LEO

James Benge anasema KT anafikiria kuondoka

James Benge:

"There is growing expectation at Arsenal that Kieran Tierney could move in the summer. If the right offer came in, all the parties are thinking this is something that might happen." [House of Champions]
Ndugu hivi unadhani watu wanasema auzwe au Ni mahitaji ya timu yatamfanya auzwe?

Tierney kwa uwezo wake hawezi kuendelea kusugua benchi

Kumbuka Zinny na Tomiyasu Ni First priority linapokuja Swala la LB kwa Arsenal inavyocheza Sasa, hata KT mwenyewe alisema ana struggle kucheza hii role ya LB kuwa holding MD tofauti na Zinchenko au Tomiyasu ambao walishawahi kucheza hizo nafasi za Kiungo .

So huoni Kama Tierney kukaa bench na kuwa mchezaji wa Cups itamfanya aangalie sehemu nyingine?

Kumbuka Hata RB ambayo White amekuwa akicheza Bado Arteta anataka kuleta complete Inverted RB ,

Na bahati mbaya au nzuri Tomiyasu Bado anaweza kucheza hiyo RB , Kwahiyo White ana advantage ya katumika RB na CB mwalimu akimuhitaji .

Sio mashabiki wanataka auzwe ,ila nafasi ya KT kucheza imekuwa finyu ,hasa Baada ya Arteta kuacha kutumia LB Kama winger ,

Juzi hapa alitoka Martinel akaingia KT Kama winger ,na sio LB , hiyo Ni ishara taratibu Arteta anaachana na KT Kama LB Labda itokee Zinny na Tomiyasu injury ndio unamuona KT akipata nafasi LB ,

Zaidi ya hapo asubiri FA cup au Carabao ,

Hapo lazima atatafuta maisha kwingine , Labda Kama asiwe na tamaa Sana ya kuondoka.
 
Faida waliyokuwa wanapata Chelsea ,walikuwa wanasajili ready made players wengi, na kuleta elite coaches ambao walikuwa hawapati kazi kuwaunganisha ,Lakini angalia miaka miwili ya mwisho walisajili timu ambayo ilikuwa suitable kwa cups tu Lakini kwenye Ligi ikawa inashindwa ,

Now wamerudi kulekule kuunda timu ya muda mrefu, ndio maana wanazingatia umri kwenye sajili zao
Please correct me kama nikosea. Ivi Chelsea washawahi kuwa na project? Au walikuwa na goals ?.

Nadhani tuelewashane hapo hili neno project naona hata Manchester wanalitumia sasa na ni baada ya kuona Arteta anafanikiwa. Sa hizi kila shabiki utasikia "trust the process" what process are we to trust? I have no doubt on Ten Hag ila nina wasiwasi mashabiki hawaelewi hata in a year time wanaenda wapi. Ndiyo maana after 6 games utasikia "tunautaka ubingwa" 😂

Chelsea leo wananunua watoto are they ready kuvumilia for 3 years bila trophy wakiwa na same manager kuwa guide kwenye hiyo so called project yao??? Time will tell na tukumbuke siyo kila unayemsajili ata perform as expected. Potter mwenyewe anasaidiwa kusajili, sidhani zote ni request zake.

Arteta alipofika Arsenal he had a clear vision na akaiweka wazi na matunda tunayaona. Na muelewa mpira yeyote alijua after some seasons tutaona matunda ya Arteta and here we are.
 
Huyu refa mzinguaji Sana

| Paul Tierney will take charge of Arsenal’s away trip to Manchester City on Friday.

IMG_20230125_175650.jpg
 
Please correct me kama nikosea. Ivi Chelsea washawahi kuwa na project? Au walikuwa na goals ?.

Nadhani tuelewashane hapo hili neno project naona hata Manchester wanalitumia sasa na ni baada ya kuona Arteta anafanikiwa. Sa hizi kila shabiki utasikia "trust the process" what process are we to trust? I have no doubt on Ten Hag ila nina wasiwasi mashabiki hawaelewi hata in a year time wanaenda wapi. Ndiyo maana after 6 games utasikia "tunautaka ubingwa"

Chelsea leo wananunua watoto are they ready kuvumilia for 3 years bila trophy wakiwa na same manager kuwa guide kwenye hiyo so called project yao??? Time will tell na tukumbuke siyo kila unayemsajili ata perform as expected. Potter mwenyewe anasaidiwa kusajili, sidhani zote ni request zake.

Arteta alipofika Arsenal he had a clear vision na akaiweka wazi na matunda tunayaona. Na muelewa mpira yeyote alijua after some seasons tutaona matunda ya Arteta and here we are.
Kwasasa Chelsea Wana project chini ya huyu Toddy

Kwa Roman walikuwa na goals , ila muda ulivyosonga Baada ya Pep Guardiola kuja ,ili upambane nae kwenye EPL lazima uwe na project maana Nimeshuhudia Arsenal tukibeba EPL kwa point 78

Kwasasa huwez kubeba EPL bila point 90+

Sasa bila Project hutoboi Labda kwenye hizi competition za knockout stages

Nadhan wote tumeshuhudia project ya Liverpool alivyopambana toe to toe na Pep

Kama Ni miaka ya 2000s Liverpool angebaba EPL 3

Chelsea Baada ya timu Yao kubeba UCL waliamini Wana timu ya kubeba EPL , wakaja kugundua siokweli ,

Ndio maana wameanza na moja ,
 
Back
Top Bottom