lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,363
- 25,458
Ninye mmeshindwa kumuelewa. Huo ndio unaitwa fitinaNi 4-3-3 Mkuu sio 4-4-3 kama ulivoandika nadhan ni typing error
Ninye mmeshindwa kumuelewa. Huo ndio unaitwa fitinaNi 4-3-3 Mkuu sio 4-4-3 kama ulivoandika nadhan ni typing error
Kiongozi wangu hizi mada za usodoaji achana nazoChelsea hawajawh kumtaka Ferran Tores na hawajawah submit bid yeyote hayuko hata katika wachezaj wanaotakiwa.
Mchezaj pekee anayeweza fikiriwa kutoka barce tena ni kwa loan ni Kessie endapo sajil zikigoma kwa wachezaj tunaowatak
Priority ni Enzo n Caicedo
Priority nyingine Malo Gusto RB wa lyon
Fatilia mkuu.
ZilipendwaOzil, Sanchez, Podolsiki nao tulipewa?
We jamaa sijui kama huwa unafkiria vizuri kabla ya kuandika.Hebu kua na adabu basi japo kidogo kwa Caicedo.
Chelsea, Bayern Munich, PSG na Real Madrid wote wanamtolea udenda halafu Kima wewe unakuja kuuliza Caicedo ana profile gani?
Sasa wewe unataka kumfananisha Caicedo na huyo Kwiyo wenu mliyemuokota kwa eftatu? View attachment 2493807
allypipi Flano OllaChuga Oc hivi ni viazi direct yaani haijalishi nini au nini vyenyewe ni upimbi tu mwanzo mwishoWe jamaa sijui kama huwa unafkiria vizuri kabla ya kuandika.
Naanza kuwa na wasiwasi na uwezo wako wa kufikiri.
Ni sababu Arsenal akiwa Emirates anafungulia Busta Zote ,C Lesn
Clean sheets chache sana. Ila ushindi ni mtamu
Caicedo Sidhan Kama kafikia profile ya Declan riceKwani mshahara ndio profile, wewe unajua market value ya Caicedo?
Kwa profile aliyo jenga Caicedo sio timu goigoi ndiyo itaenda pale. Mark my word. Posa tu ya yule lazima uende na personality na profile kubwa.
Arteta and Zubimendi have the same agents. It is quite possible that he moves to the Premier league in the summer.
Emmanuel Petit on Fresneda -Na ushabiki wa mpira una vyoteallypipi Flano OllaChuga Oc hivi ni viazi direct yaani haijalishi nini au nini vyenyewe ni upimbi tu mwanzo mwisho
lembu Hziyech22 hawa ni viazi vya msimu kuna siku watatoa hoja halafu kuna siku wanakua miyeyusho
juan david mara zote anajenga hoja kuliko mipasho
Carrasco putin huyu atakua kiranja wa Milembe
Hi habari Ni uzushi ,rejea vzr vyanzo vyako ,Hata mashabik wa ChelKenge wakiona hawatakubaliana na weweChelsea kapeleka 60M ili amchukue Feran Torres ila Barca wamegoma
Nijudge wewe nikijijudge mwenyewe nitakua nakoseaNa ushabiki wa mpira una vyote
Wewe uko upande gani au kuwanyooshea vidole wenzako tu?
Arsenal are in the lookout for a right-back and a midfielder. If Cédric leaves, a move for a right-back will happen. In midfield, they’re exploring options. Reports,
Comparisons with Roberto Carlos at 8-years-old
Played alongside Sambi at Anderlecht
Discovered by same scout who found Milan Skriniar
Once cost just €10k
Tracked by Arsenal since last summer
️ #AFC
Kila mtu ashinde tu game zake, mwambie hivyo,, kwan tushamzoea kuropoka kwake,, nakumbuka huyu aliishawah kutoa mbov kuhusu xhakaThierry Henry akizungumzia kiwango cha Man Utd dhidi ya Arsenal: “Tuliona timu ikiwa na miaka mitatu ya maendeleo dhidi ya timu yenye miezi sita ya maendeleo, pia timu yenye mapumziko ya wiki moja dhidi ya timu yenye mapumziko ya siku mbili, lakini United bado walicheza kwa kupishana( toe- to- toe) na Arsenal ambayo kwangu ilinishangaza ..Siitaki kumdharau Sir Alex Ferguson, lakini kama Erik ten Hag atapata anacho kitaka akiwa United, watacheza soka la kuvutia zaidi kuliko walivyocheza chini ya Sir Alex.”
Sio mimi maneno ya legend wenu msianze kunikaanga hapa.View attachment 2494521


Lete sourceThierry Henry akizungumzia kiwango cha Man Utd dhidi ya Arsenal: “Tuliona timu ikiwa na miaka mitatu ya maendeleo dhidi ya timu yenye miezi sita ya maendeleo, pia timu yenye mapumziko ya wiki moja dhidi ya timu yenye mapumziko ya siku mbili, lakini United bado walicheza kwa kupishana( toe- to- toe) na Arsenal ambayo kwangu ilinishangaza ..Siitaki kumdharau Sir Alex Ferguson, lakini kama Erik ten Hag atapata anacho kitaka akiwa United, watacheza soka la kuvutia zaidi kuliko walivyocheza chini ya Sir Alex.”
Sio mimi maneno ya legend wenu msianze kunikaanga hapa.View attachment 2494521
Wewe tukuweke kundi ganiallypipi Flano OllaChuga Oc hivi ni viazi direct yaani haijalishi nini au nini vyenyewe ni upimbi tu mwanzo mwisho
lembu Hziyech22 hawa ni viazi vya msimu kuna siku watatoa hoja halafu kuna siku wanakua miyeyusho
juan david mara zote anajenga hoja kuliko mipasho
Carrasco putin huyu atakua kiranja wa Milembe