Guacamole
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 6,079
- 16,035
Tulishawaambia kwamba Saka hakabwi na beki moja. Wameshindwa kufanya home work yao.Lini uliona saka kapotezwa na beki, hata National Team
Tulishawaambia kwamba Saka hakabwi na beki moja. Wameshindwa kufanya home work yao.Lini uliona saka kapotezwa na beki, hata National Team
mkuu nimesema kuwa zamani tulikuwa tunashinda kirahisi kwa sababu zile game zilikuwa hazina umuhimu wowote tofauti na pride ya TeamZinny na Partey misimu mitatu ya nyuma kabisa acha na wa mwaka jana na mwaka huu Arsenal tunampiga Man si walikuwa hawapo na Man akagongwa hapo.
Mimi swala la kuniambia eti tumepoteza confedence mechi ya leo na kataa ,Man leo walikuwa anapigwa nyingi two deflection zile za Erikisen plus mpira alio ucheza Degea ana kwa ana na Nkentiah.
Ukiniambia eti leo tulikuwa tunacheza vibaya na hautujiamini na KATAAA BROTHER mpira mcheza wa wazi,game tumeidominate mwanzo mwisho na hasa dk 30 za mwisho ndio ilikwa nusu uwanja.
Kuna timu za kuipa hofu Arsena ila sio MAN MIMI NAKATAA MANA HANA TIMU YA KUIPA ARSENAL HOFU HANA.
Timu ambazo Arsenal alikuwa anapata tabu kuzifunga ilikuwa City na Liverpool na walikuwa wanatubamiza kweli.
Ila huyu Man huyu msimu wa tano Emirates hajawai toka ,halafu uniambie timu ipoteze confidence kwa timu amabayo anaifunga misimu mitano mfululizo.
MIMI NAKATAA HAMNA KITU KAMA HICHO.
Kwa dk alizocheza trossard kaonesha utofautiTrosard anamuweka bench
Kwa dk alizocheza trossard kaonesha utofauti
Kabisa dakika chache tu uwanjani lakini kuna kitu kakiongezaAtatusaidia sana kwenye mbio za ubingwa huyu
Martinelli akirudi kwenye ubora inakuwa balaa, huku saka,huku martinelliTulishawaambia kwamba Saka hakabwi na beki moja. Wameshindwa kufanya home work yao.
Saka huwa anaupiga mwingi karibia kila mechi, mabeki wengi hapa watateseka sana.Hongereni Gunners, ule msako mlioupiga dakika 20 za mwisho ilikua haina budi mpate goli.
Saka leo ndio MoTM, huyu dogo akikutana na beki inayovuja kama Shaw hua anang'aa kwelikweli.
View attachment 2491891
Acheni kukufuru nyie viumbe,Martinelli toka atoke world cup naona kapoa, sioni siku hizi kumchukua beki, kumpakia.
Mudryk ulikuwa ni usajili mzuri.
Yote kwa yote point 3 zilikuwa muhimu
Kuna makosa mengi nadhani mwalimu kaona.
Partey zile goli 2 ni maboko yake.
Mbele kwenye umaliziaji kuna utoto utoto tumeufanya, ilipaswa iwe zaidi ya 3
Sijakimbia ndugu, Mimi mechi ikianza siingii online Hadi iishe ,na tukifungwa nasubiri matusi, vijembe viishe ndio naingiaAaron Arsenal hujaacha tu kukimbia kumbe
Mechi ya kwanza ya ligi ya Arsenal Vs City iliahirishwa Kwa sababu ya msiba Wa Malkia Elizabeth II. Itachezwa mid February.Hivi imewezekanaje
Arsenal vs manchester united all rounds tayari.
Manchester united vs manchester city all rounds tayari
Kwanini mpaka leo city vs arsenal mjakutana hata mechi moja wakuu?
Sio mbaya acha niandae popcorn zangu izo mechi uzuri nyie wote tushamalizana sina habari na nyie tena na baki kuwacheki tu mtavyouana.
Kwani Antony mliyemsajili kwa £100m hakucheza leo???Acheni kukufuru nyie viumbe,
Umfunge Man Utd zaidi ya goli 3 kwa kikosi gani hasa mlichonacho?
Hilo goli la 3 lenyewe refa aliamua kuwapa tu ili mpunguze maneno maneno, maana kabla ya mechi mlikua mmeshaanza kumtuhumu kua atawabeba united.
Kiushabiki tutabishana saana, tukiongea kisoka utaona nilichosema.Acheni kukufuru nyie viumbe,
Umfunge Man Utd zaidi ya goli 3 kwa kikosi gani hasa mlichonacho?
Hilo goli la 3 lenyewe refa aliamua kuwapa tu ili mpunguze maneno maneno, maana kabla ya mechi mlikua mmeshaanza kumtuhumu kua atawabeba united.
Wewe jamaa una hoja na ndicho nilichokiona leo, nyakati Kama hizi, ndio mbio za Ubingwa zinaanza ,mkuu nimesema kuwa zamani tulikuwa tunashinda kirahisi kwa sababu zile game zilikuwa hazina umuhimu wowote tofauti na pride ya Team
Hakuna watu wanamjua vizuri pep kama Arteta, baada ya game ya leo ni wazi kuwa mbio za ubingwa ndio zimeanza rasmi, wakati pep anaanza mbio rasmi za ubingwa sisi team imejaa vijana ambao ata kumaliza nafasi ya 2 tu hawajawahi
Anyway, Sawa mkuu naheshimu mawazo yako
Kwa kweli gem ya leo Zinny amekuwa km mchezaji mkongwe wa miaka 30+. Utulivu wa hali ya juu na upambanaji wenye shauku ya ubingwa. Saka ni mashine ila kwa gem ya leo Zinny ametuheshimisha sanaMkuu uliona vile Zinny anacheza? Kuna mchezaji mwingine yoyote aliekuwa anakaribia confidence yake?
Pamoja na uwezo wa partey ambao kila mmoja wetu anaujua Umeona maboko aliyokuwa anayatoa leo?
Umeona kosa alilofanya Ramsdale katika goli la 2? Umeona Martinel alivokuwa anacheza Leo?
Wachezaji wetu wengi leo wamecheza chini ya kiwango kutokana na umuhimu wa game, walikuwa na pressure kuliko game ingine
Inawezekana leo ndio waliambiwa mbio za ubingwa zinaanza rasmi, ila Zinny ye kazoea miaka yote kukimbizana na Liverpool pale juu kwahiyo hana pressure kabisa
Na kuna uwezekano kama Zinny nayeye asingekuwepo hii game ingekuwa ngumu zaidi maana yeye ndio alikuwa anawaambia wenzie kuwa hawa wanakufa msiwe na mapepe
Pep saiz ndio ameanza ligi rasmi kwahiyo lazima tuwe na calmness na determination ya hali juu sana, huu ndio muda ambao Jesus alihitajika sana uwanjani