Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Huyu ni media za UK zinatufanya tuonekane tunamtaka, ila siamini kama tunamtaka.

Kama kweli tungekuwa tunamtaka tungekuwa hata hii january tushapeleka ofa.

Huwez sema unamtaka mchezaj flani wakat ukipeleka ofa unapeleka ofa kwa wachezaj wengine (Caicedo na Enzo)
Ukiangalia Caicedo na Enzo wote wanamiaka 21&22 respectively

Wakala wake anataka kutumia njia ya shakhtar, huyu ni kama option ya mwisho baada ya priority zetu kukwama.

Ukimtaka sasa hivi na ukitamka baada ya kuwa amemaliza mkataba Malipo yanatofautiana.
Ukimgusa sasa hivi lazima uvunje benki
 
Rice bado anamkataba na West Ham, nahis mwaka 1 na nusu umebaki

kama kweli ni top priority why tubid 86M kwa enzo na 65M Kwa Caicedo?

Ni media na agent wake wanatahusisha nae na siamini kama chelsea kweli tunamtaka,
 
I don’t believe with one year left and the player having told them that he doesn’t intend to extend his contract, demand in excess of 50m will be hypothetical
 
Huyu Murdy yupo Vizuri sana, ni vile Chelsea Haina mipango.
Nani kakwambia chelsea haina mipango chelsea tuna injury crisis Kovacic,kante, Reece james, Benchillwel, Zakaria nae kaanza kupata injury baada ya kuanza kukichafua pale Kati so hapo Kati tumebaki na jorginho pekee, Pulisic wote hawa ni injury jao felix ana red card ndio maana tunatengeneza kikosi wote hawa wakirudi ndipo hizi sajili tunafanya zitawork zaidi ndio maana sisi kama mashabiki hatulalamiki Sana tunajua changamoto club inayopitia
Castr
HENRY14
DullyJr
 
Ujue mimi ninachowakatalia hii hoja yenu ni kwakua mlishasajili Werner, Ziyech, Pullisic na Havertz na huko wakakutana na Mount na Kante. Baadaye akaja Lukaku na bado hawakudeliver mlichotarajia.

Sioni kwanini kipindi hichi natakiwa kushtuka.
 
Hii lineup yenu ya 2019 ilikuwa poa ila ilajaa matakataka kweli, ubora wa kocha ni pamoja na kuweza kuyang'amua matakataka na kuyachoma moto
Waliobaki hapo ni wangapi?
LINE-UP-Arsenal-4-3-3-1.jpg
 
Ujue mimi ninachowakatalia hii hoja yenu ni kwakua mlishasajili Werner, Ziyech, Pullisic na Havertz na huko wakakutana na Mount na Kante. Baadaye akaja Lukaku na bado hawakudeliver mlichotarajia.

Sioni kwanini kipindi hichi natakiwa kushtuka.
Kai havert katusaidia kubeba UEFA pamoja na Club bingwa ya dunia unampondaje? Timo werner kaleta mchango mkubwa Sana mpaka tunabeba UEFA maana bila ile movement aliyofanya kwenye game ya Fainal against City kusikuwa na goal la Kai lakini pia alicheza vizuri Sana tangu tukiwa makundi mpaka tunabeba ndoo na yeye ndio alikuwa man of the match against Real Madrid pale darajani nusu fainal.
 
Huyu anakuja ,kwasasa wanampa info dili likishakuwa mwishon au limeisha
😄😄😄 Romano tutakuwa tunamlaumu Kwa asimia kama 95 hivi Kwa kumkosa Mudy. Sasa hatutaki kumdokeza kuhusu targets zetu tena? 😆😆
 
Nani kakwambia chelsea haina mipango chelsea tuna injury crisis Kovacic,kante, Reece james, Benchillwel, Zakaria nae kaanza kupata injury baada ya kuanza kukichafua pale Kati so hapo Kati tumebaki na jorginho pekee, Pulisic wote hawa ni injury jao felix ana red card ndio maana tunatengeneza kikosi wote hawa wakirudi ndipo hizi sajili tunafanya zitawork zaidi ndio maana sisi kama mashabiki hatulalamiki Sana tunajua changamoto club inayopitia
Castr
HENRY14
DullyJr
Sahihi kabisa. Ila kabla hamjakaa sawa na kuanza kukichafua huku ningependa mbondwe sana yaani sana yaaani. Ikibidi muishie nafasi ya 16-17 mkoswe kowe na relegation. Actually ni bora mpigwe haswaaaa mpaka mshuke daraja mtuepushe na matatizo. Mkawapeleke hao kina Mudy na Nkunku Championship huko.
 
niko na kazi leo ila sitaki kukosa hii game
nisaidieni link ya kustream nisikose uhondo
 
Attachments

  • seno.jpg
    seno.jpg
    22.2 KB · Views: 13
  • aseno.jpg
    aseno.jpg
    17.8 KB · Views: 11
Back
Top Bottom