King faisal
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 2,314
- 5,988
Nasema hivi nyie arsenyonyo, Kesho mpige pasi zenu zote, hata ikiwezekana za kwenye ile movie ya kichina ya (shaulini soccer). Lakini hamta amini kitakacho watokea hapo kwenu emirates, Sababu hamtapata hata nafasi ya ku draw na united.