Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,384
Pass accuracy so low
Hiyo sio roho mbaya ni nguvu ya pesaNyie mnavyoleta majembe mpaka Kwa kuwanyang'anya wengine mnaona ni roho gani?
Manchester ya sasa imebadilika sana,inastahili tuwe makiniThis match is discipline versus desire
Ata mi sielewi sijui tuna kwama wapi, ila Martinel pia ana tucheleweshaPira letu limepotea kabisa vs Manchester United team nayoichukia duniani let's wait for the second half nimeanza kukosa raha kabisa
Erik kapaki Basi wapi?Arsenal tumesusa kupossess mpira. Tunacheza huku tunahofia kwenda mbele kuziepuka long balls zao, Erik kaamua kupaki basi kama mechi ya kwanza, wanajitahidi kutuvuta na Arsenal tumegoma.
Tuna blocked shots nyingi, tunaogopa kushut nje ya box na hicho ndicho kinatakiwa kianze. Last game nilisema nawish tucheze 4 2 3 1 na nawish hii pia tungecheza hivyo.
Tungekua lethal zaidi kwenye wings.
Kwa hapa tulipofikia Arteta anatakiwa kuinitiate plan mpya.