THE SHADOW ONE
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,226
- 2,025
Afadhali tumemchukua, natumai kwnye hii project italeta matunda.
Kila nikifikiria endapo mngempata mudryk na jinsi mlivyo sasa aah mbona watu tungekoma.
Dusan Vlahovic yule ndiyo kwa sasa tungekuwa tunaongea habari nyingine, lakini nashukuru yupo Leandro Trossard na Jesus.
Mykhyalo Mudryk yupo Chelsea tunataka pia irudi kwenye ubora ili kiwake zaidi.

️
#AFC
