hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,661
- 27,519
Sio huyu ,ni yule George Job,Huyu jamaa nahisi kuna screenshot yake iliwahi tembea akiwakandia Arsenal msimu huo akatoa hoja laini kweli kweli.
Hawa ni watu wanasababisha sina hamu na mpira wa Tz