Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 2,192
- 4,356
hahah dogo pepekale [emoji16]Huyu saka hajafika hata thamani ya Pepe yule mlipgwa na lile [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
hahah dogo pepekale [emoji16]Huyu saka hajafika hata thamani ya Pepe yule mlipgwa na lile [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa hivi tunamtaka Maxence Melo 😂 mwambieni Bosshela hamna nyie subirini mwisho wa msimu mtaporwa sana wachezaji maana nakumbuka miaka miwili mitatu mlitupora magarasa yetu kina luiz na wilian mkajisifiaaa wee.. sema movich akaona awaache tuu sasa miruzi anajenga timu tunatembelea mule mule tukisikia mwingine mnamtaka tunaunga tela [emoji41][emoji41]
Acha janja janja wewe unaongea utadhani hela ipo mfukoni kwako sisi mashabiki tuna kaka furaha tu hayo mambo ya hela nyingi tuwaachie maboss.Arseblog wanasema mkataba wa Mudy ni miaka nane na nusu (daah, ukwepaji wa FFP kama alivyosema Castr). Kama mshahara nao ni 200p/w, mbona wanatufanya tusijutie kabisa kumkosa? Acha kijana ale maisha.
Huyu Tajiri Miluzi tulianza kwa kumuita Todd Bahili. Jamaa amebadilika sana yaani ndani ya muda mfupi. Anatuoshea mbaya.hela hamna nyie subirini mwisho wa msimu mtaporwa sana wachezaji maana nakumbuka miaka miwili mitatu mlitupora magarasa yetu kina luiz na wilian mkajisifiaaa wee.. sema movich akaona awaache tuu sasa miruzi anajenga timu tunatembelea mule mule tukisikia mwingine mnamtaka tunaunga tela [emoji41][emoji41]
Fatilia kwanza Basi ,Kwanini tumemkosa mudrkySisi ina fahamika hatuna hela mkuu je? Kwa upande wenu na nyie kama sisi?
Squad is fine.The Arsenal line-up to take on Spurs in the North London Derby this afternoon...
Mikel Arteta picks an unchanged line-up from the draw at Newcastle last time out in the league, so once again Eddie Nketiah leads the line with Saka, Martinelli & Ødegaard behind him.
Thoughts?View attachment 2482487
Kwa nini wanamzomeaPasi imetoka kwa master Partey