Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,393
- 17,756
Hongera sana Arsenal. 3 points n two goals. 8 up. Top of the premier league table. congrats
Wa SpursMashabik wa timu gani?
SpursMashabik wa timu gani?
[emoji3514][emoji3514][emoji3514]Kama unacheki mechi utaona Son na Kane wamekosa clear chance pia.
Kuimprove nilipomaanisha mimi ni kuhusika kwenye mchezo zaidi kwa sababu ukizungumzia magoli kascore mfululizo tangu apokee kijiti na hata leo anaweza kuscore pia
Siokweli ,Zinny Ni press resistantWachambuzi nawaskia wanasema kama unataka goli basi we mpress Zinny lazima atapoteza mpira kisha kafanye yako
Ukiangalia ni kweli kabisa maana dogo hapendi na hawezi kuzongwa zongwa, ukimpa pressure tu lazima ateme finyango
Mi naona kama City ndiye tunahitaji kumnyoosha.Tukiwafunga manure kwa ubora walionao saivi tutakuwa tunadeserve kupewa ndoo.
Congrats gunners!!
Unamiaka kama minne tunakupasua Emirates.Arsenal mtamkazia kila mtu ila akija United lazima mumpe utamu.
Mke bora anatoka London. 😄
Hiki kitu mashabiki wa man u wanakifumbia machoUnamiaka kama minne tunakupasua Emirates.
Kuanzia Boss wenu mpaka mashabiki msimu huu wote hamji helewi, mnasajili hovyo hovyo bila mipango.Baadae wanaakuja kuwa kama ya KDB na Mo Salah watu wanakuja kujiokotea bei sawa na bure wakati nyie mmetumia mzigo mrefu.Hii game munapigwa,.