Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wachambuzi nawaskia wanasema kama unataka goli basi we mpress Zinny lazima atapoteza mpira kisha kafanye yako

Ukiangalia ni kweli kabisa maana dogo hapendi na hawezi kuzongwa zongwa, ukimpa pressure tu lazima ateme finyango
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom