Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Tutamtengeneza Mwingine ,namuamin ArtetaKuna muda natamani Partey angekua ana miaka 25
Partey alikuja hakuwa Hivi ,inabidi tumpate DM ambaye tayari ana vitu aje aongezewe
Hizi mechi hapa chini ,Partey alikuwa ovyo, akasema najipa 4/10 ,Saka akasema Arsenal fans Wana deserve more
Partey anakiri anasema Arteta kambadilisha pakubwa Sana