Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Njoo Yanga kwa wastaarabu mkuu achana na hao wahuni wa msimbazi.
Shabiki mwwenzangu wa simba tukutane, kisha nimwambie kuwa mimi arsenal, aniambie "njoo man u 😂, achana na hao wahuni wa london"

Haiwezekani kaka, mie nabaki huku huku kwa makolo wenzangu. 😂
 
Fabrizio romano :

"Kile Arsenal walifanya leo walipojua kuhusu Chelsea kusafiri kukutana na Shakhtar ili kulipa na kufikia na kukubaliana na kujaribu kumshawishi Mudryk, Arsenal hawakuwa na hofu. Arsenal wamebadili mtazamo wao kwenye soko la usajili. Arsenal hawajajibu chochote. ; Arsenal hailipi kupita kiasi.

"Arsenal wako wazi sana: Wanafanya kile wanachofikiri ni kile wanachopaswa kufanya. Kwa hiyo wanafanya wawezavyo. Walitoa Alhamisi alasiri euro milioni 70, pamoja na milioni 25 kama nyongeza kwa Mudryk. Ni pesa nyingi, ni pendekezo kubwa sana. Kisha Shakhtar akaamua kusubiri Chelsea wapate pesa zaidi.

"Kwa Arsenal, sio suala la kulipa kupita kiasi au labda kujibu. Wana maono, wana mkakati, na kwa hivyo waliamua kusema, 'hii ni bora yetu. Ikiwa mchezaji anataka kuja na Shakhtar anataka kukubali ofa, tunafurahi. Vinginevyo, tutafanya kitu kingine.

"Kwa hivyo Arsenal wana mtazamo tofauti, lakini hivi ndivyo ilivyokuwa mwaka mmoja uliopita na Dusan Vlahovic. Arsenal hawakutaka kuingia kwenye pambano lolote. Sawa na Locatelli, Martinez, na Raphinha msimu uliopita wa joto alipoamua kwenda Barcelona na kutokubali Chelsea au Arsenal."

Haitakuwa marudio ya dirisha la Januari mwaka jana. Dau ni kubwa na nina hakika edu anatupikia kitu. Mpango wa Mudryk sio mwisho wa dunia.
 
Raha ya kushabikia timu zaidi ya moja ni utakutana na mashabiki wenzako katika timu moja ila kwenye nyingine ni wapinzani. Tukiwa Arsenal ni full kupeana moyo ila kwa Simba na Yanga full kukandiana. Ila mimi mpira wa bongo siuelewi kabisa nimebaki shabiki jina tu wa Yanga.
 
Fabrizio romano :

"Kile Arsenal walifanya leo walipojua kuhusu Chelsea kusafiri kukutana na Shakhtar ili kulipa na kufikia na kukubaliana na kujaribu kumshawishi Mudryk, Arsenal hawakuwa na hofu. Arsenal wamebadili mtazamo wao kwenye soko la usajili. Arsenal hawajajibu chochote. ; Arsenal hailipi kupita kiasi.

"Arsenal wako wazi sana: Wanafanya kile wanachofikiri ni kile wanachopaswa kufanya. Kwa hiyo wanafanya wawezavyo. Walitoa Alhamisi alasiri euro milioni 70, pamoja na milioni 25 kama nyongeza kwa Mudryk. Ni pesa nyingi, ni pendekezo kubwa sana. Kisha Shakhtar akaamua kusubiri Chelsea wapate pesa zaidi.

"Kwa Arsenal, sio suala la kulipa kupita kiasi au labda kujibu. Wana maono, wana mkakati, na kwa hivyo waliamua kusema, 'hii ni bora yetu. Ikiwa mchezaji anataka kuja na Shakhtar anataka kukubali ofa, tunafurahi. Vinginevyo, tutafanya kitu kingine.

"Kwa hivyo Arsenal wana mtazamo tofauti, lakini hivi ndivyo ilivyokuwa mwaka mmoja uliopita na Dusan Vlahovic. Arsenal hawakutaka kuingia kwenye pambano lolote. Sawa na Locatelli, Martinez, na Raphinha msimu uliopita wa joto alipoamua kwenda Barcelona na kutokubali Chelsea au Arsenal."

Haitakuwa marudio ya dirisha la Januari mwaka jana. Dau ni kubwa na nina hakika edu anatupikia kitu. Mpango wa Mudryk sio mwisho wa dunia.
Hayo maneno ya kuremba last season yalitutoa top 4 huku sisi tukiwa tumeishika nafasi ikiwa yetu kabisa ya top 4 but problem ilikuwa ni usajili na imagine hatukuwa na any European competition ,yes tuna strong 11 squad tatizo now on tupo 1st position katika EPL na pia tupo kwenye knock out stage ya Europa kila Alhamisi,kama una jicho la 3 kuna kipindi Arsenal ilikuwa inashinda kwa tabu,refer wakati wa games za Leeds Southampton Grimt Fulham na kadhalika tukawa tunasema players wetu wamechoka na kucheza mfululizo na benchi likiwa weak,season hii yanataka kujirudia yale yale ya usajili tena season hii tukiwa na EPL tunaifukuzia na Europa competition, sioni kama tutasajili kwa sasa January hii may be iwe zimamoto so tusubirie nini kitahappen up to March mambo yakichanganya huku una EPL weekend kisha Europa Thursday tena knock out stage
 
Ffp haiwezi tumika hapa kwakua Roman wakati anaiuza timu madeni yote yalifutwa. Hivyo kwenye ffp Chelsea ilionekana iko 0.

Ffp inaangalia mapato yako na matumizi kila baada ya miaka 3. Na kwakua deni lilifutwa hii inamaanisha ffp inaona Chelsea katumia 500M na hana negative.

Ujanja mwingine ni amortization mfano dili la Mudryk ni 105M na mkataba ni miaka 7 ukiigawa hii 105 kwa miaka 7 utaona actually hii inamaanisha kila mwaka inalipwa 10.4M so bado wanakua hawajaiingilia FFP.

Swali hili liliwafaa Barca ambao tunajua wana deni la 1B ila walikua wanasajili non stop
Wewe jamaa upo sahihi kwenye hili ,inasemekana ndio maana Boss wa Chelsea anawapiga Mikataba mirefu ,Ni ku avoid FFP

Nimeipata kwenye Chanzo Cha kuaminika

8 and a half years here, 6 years there, 7 years somewhere else.

Where are these coming from, says the layman? Why?

Easy answer. Drip feeding a contract over such long periods is an effective FFP buster.
 
Hayo maneno ya kuremba last season yalitutoa top 4 huku sisi tukiwa tumeishika nafasi ikiwa yetu kabisa ya top 4 but problem ilikuwa ni usajili na imagine hatukuwa na any European competition ,yes tuna strong 11 squad tatizo now on tupo 1st position katika EPL na pia tupo kwenye knock out stage ya Europa kila Alhamisi,kama una jicho la 3 kuna kipindi Arsenal ilikuwa inashinda kwa tabu,refer wakati wa games za Leeds Southampton Grimt Fulham na kadhalika tukawa tunasema players wetu wamechoka na kucheza mfululizo na benchi likiwa weak,season hii yanataka kujirudia yale yale ya usajili tena season hii tukiwa na EPL tunaifukuzia na Europa competition, sioni kama tutasajili kwa sasa January hii may be iwe zimamoto so tusubirie nini kitahappen up to March mambo yakichanganya huku una EPL weekend kisha Europa Thursday tena knock out stage
Tusimalize maneno ,Arteta amesema kikos Ni kidogo

Dirisha halijafungwa ,so Mimi nasubiri nione wanafungaje usajili
 
Olise yupo vzr huyu dogo
kweli umedata mkuu kwa kitu walicho wafanyia Chelsea mpaka unamuwaza olise.

Pole mkuu najua jinsi unavyoumia man u tunakuja kukutibu kidonda chako jumapili.

Ila mabosi wenu nao mkono mzito yani hela ya kwa pepe tu mnalalamika mpaka leo jifunzeni kwa timu zingine bwana arsenal is big team kupoteza 100 ni kitu gani.
 
Ila Palace hua wanafungwa simply kwakua hawajui wapi washuti na wapi warembe.

Ndiyo maana Zaha hatakiwi na timu kubwa
 
Timu ya ushindi!!
IMG-20230115-WA0035.jpg
 
kweli umedata mkuu kwa kitu walicho wafanyia Chelsea mpaka unamuwaza olise.

Pole mkuu najua jinsi unavyoumia man u tunakuja kukutibu kidonda chako jumapili.

Ila mabosi wenu nao mkono mzito yani hela ya kwa pepe tu mnalalamika mpaka leo jifunzeni kwa timu zingine bwana arsenal is big team kupoteza 100 ni kitu gani.
Dah wewe jamaa ,Kwan Olise mbaya ,huyu tulishahusishwa nae

Pia na Eze ambaye Ni zao la Hale end
 
kweli umedata mkuu kwa kitu walicho wafanyia Chelsea mpaka unamuwaza olise.

Pole mkuu najua jinsi unavyoumia man u tunakuja kukutibu kidonda chako jumapili.

Ila mabosi wenu nao mkono mzito yani hela ya kwa pepe tu mnalalamika mpaka leo jifunzeni kwa timu zingine bwana arsenal is big team kupoteza 100 ni kitu gani.
Kwan hili dili tumeshindwa kutoa €100m?

Unajua Arsenal Tulifika Hadi €95m

Transfer ina drama zake

Ndio maana man u January hii kamkosa Gakpo , kaangukia kwa usajili wa mzee wa Besiktas
 
️ Tottenham XI: Lloris; Romero, Dier, Lenglet; Doherty, Sarr, Hojbjerg, Sessegnon; Kulusevski, Kane, Son.

Arsenal XI: Ramsdale; White, Saliba, Gabriel, Zinchenko; Xhaka, Partey; Saka, Odegaard, Martinelli; Nketiah.
 
Arseblog wanasema mkataba wa Mudy ni miaka nane na nusu (daah, ukwepaji wa FFP kama alivyosema Castr). Kama mshahara nao ni 200p/w, mbona wanatufanya tusijutie kabisa kumkosa? Acha kijana ale maisha.
 
nilikuwa sijaiona post yake. tusineongeza hata senti kwa shaktar 😀😀 na kama dogo anaenda kula 200 chelsea aisee acha aende kwa baraka zote akale jasho lake. fursa kali hiyo na maisha yenyewe ndiyo haya haya.
hela hamna nyie subirini mwisho wa msimu mtaporwa sana wachezaji maana nakumbuka miaka miwili mitatu mlitupora magarasa yetu kina luiz na wilian mkajisifiaaa wee.. sema movich akaona awaache tuu sasa miruzi anajenga timu tunatembelea mule mule tukisikia mwingine mnamtaka tunaunga tela
 
Back
Top Bottom