computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,033
Tuna miaka 10 hatujawahi kumfunga spurs away na katika game Kama 10 tumetoa draw only 2 times ,so anything can happen najua tutawazidi kwa kumiliki mpira but defenders wetu na wasiwasi nao sana kwenye counter attacks za spurs inabidi leo watulie mambo ya kukabia juu yanaweza yakatuumiza but tusubiri game muhimu ambayo itatoa direction season hii ukiachana na next game vs Manchester United lazima tupate 3 points leo ili next week tunaenda kumaliza mchezo tunakuwa juu zaidi ila leo ikitokea negative results tutaenda game ijayo vs Manchester United pressure ikiwa juu na watu wazima tukaanguka so game ya leo sio rahisi hata kidogo in my opinionHuu ni wakati vijana wa Arsenal kuonyesha uwanjani kwamba Edu na Arteta kwanini umlikua mnahangaika na huyo wakati sisi tupo?! Mashabiki tulieni. Kambini mambo ni shwari, leo spurs anakaa hamna namna.

