makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,441
- 108,486
£200k 🙄🤔 Chelsea hawataki masihara, wanatumbua tu pesa 😂Kama gooneer kweli nitasema pongezi kwa Chelsea.Wamepata mchezaji mzuri,
Pia bahati nzuri kwa Mudryk.
Edu kwa kweli alijitahidi na nampongeza kwa juhudi. Ofa ya mwisho ilikuwa €95m, Sijawahi kuona Arsenal tukipambana kumpata mchezaji namna hii, ofa 3 zilienda ,
Ofa ya Chelsea ilikuwa €100m
Chelsea walipokuja kutu win Ni kwenye mshahara wa mchezaji , Sio Kwamba Arsenal asingeweza kuongeza €5m amech ofa ya Chelsea .
Issue Ni mshahara , Arsenal walimuofa £40k per week miaka 5, Chelsea wamekuja nasikia kumpa £200k per week miaka 8.
Hapa ndipo ugumu ulipoanzia ,ilihitaji moyo Kama wa Gabriel Jesus au Raphina ambao hawakuangalia pesa lilipokuja Swala Kama hili pale Chelsea alipoingilia hizi dili.
Ngumu kwa mchezaji usiye proven kuja moja kwa moja Arsenal upate £200k per week ,
Kesi ya Mudryk ni sawa na ile ya Lisandro Martinez na Raphinha.
Tuliwapoteza lakini bado tuliendelea mbele .
Ikiwa ningekuwa Edu na timu ya kusajili, ningejitoa kwa muda mrefu na kuhama siku ambayo Sporting director wa Shakhtar alikwenda Chelsea kutazama kushindwa kwao na Man city.
Walakini, Edu na Arsenal waliendelea kwa sababu tu kijana huyo alionesha moyo wake wa kuwa mchezaji wa Arsenal.
Kuna njia mbadala na chaguzi zingine za kufanya.,.
Mara 10 trossardWachezaji wengi wapo sokon ,sema wengine hatuwajui
I think tutaenda kwa Raphina au Trossard
Liva hakuchukua point with 4 3 3 against 3 4 3 ya hawa hawa Spurs.Lloris Ni old fashioned GK, hata Spurs Wana mpango wakumuacha mwisho wa msimu,
Binafsi sijawahi kumkubali toka Wenger anamtaka kipind kile
Kwa timu inayotumia 3-4-3 ,dawa Yao Ni 4-3-3
SABABU kwenye kushambulia /au tukiwa na mpira tunapenda Sana kutumia 3-2-5/2-3-5
Wale wingbacks zao Perisic na Dohety wanakuwa pinned na Martinell na saka ambao huwa wanatanua uwanja ,hivo hawawez kuwaacha free
Hapo Kati wanabaki Viungo wawili Bentacur na Holjberg
Sasa Inakuwa 2 MF wa Spurs Vs 3 MD wa Arsenal ambao Ni Partey Xhaka na Zinny Jumlisha na Kipa Aaron ambaye anahusishwa kwenye kuanzisha mashambulizi ,kunakuwa na Overload Kama ya 4 vs 2
Kuna Kane huwa anapenda kushuka kusaidia Kiungo ,huyu waku mchunga Sana ,
Kwenye quick transition Xhaka na ode wanaondoka kushambulia half space
Kitu Cha Kwanza kabisa tuwapore eneo la MIDFIELD
Tuwe sharp kuzuia Kaunta ,ndio silaha Yao kubwa.
Bonge la player lenye goli 12?Nina hasira sana, uhuni mliotofutanyia haukubaliki
Mkuu inatosha kusema ni bonge moja la player
Shida kubwa wakiamua kucheza counter attacks, itakuwa shughuli pevu kwetu.Lloris Ni old fashioned GK, hata Spurs Wana mpango wakumuacha mwisho wa msimu,
Binafsi sijawahi kumkubali toka Wenger anamtaka kipind kile
Kwa timu inayotumia 3-4-3 ,dawa Yao Ni 4-3-3
SABABU kwenye kushambulia /au tukiwa na mpira tunapenda Sana kutumia 3-2-5/2-3-5
Wale wingbacks zao Perisic na Dohety wanakuwa pinned na Martinell na saka ambao huwa wanatanua uwanja ,hivo hawawez kuwaacha free
Hapo Kati wanabaki Viungo wawili Bentacur na Holjberg
Sasa Inakuwa 2 MF wa Spurs Vs 3 MD wa Arsenal ambao Ni Partey Xhaka na Zinny Jumlisha na Kipa Aaron ambaye anahusishwa kwenye kuanzisha mashambulizi ,kunakuwa na Overload Kama ya 4 vs 2
Kuna Kane huwa anapenda kushuka kusaidia Kiungo ,huyu waku mchunga Sana ,
Kwenye quick transition Xhaka na ode wanaondoka kushambulia half space
Kitu Cha Kwanza kabisa tuwapore eneo la MIDFIELD
Tuwe sharp kuzuia Kaunta ,ndio silaha Yao kubwa.
Hata huyu sidhani kama ilikuwa ni dhamira ya Arsenal proposal yao iwe public, walichokifanya Shakhter ni kuweka hili deal public ili kuinvite bidding war; na kwa kiwango kikubwa wamefanikiwa kuexrtact as much cash as what they wanted.Mbona Zinny tulimnyakua kimya kimya tunashindwaje sasahivi kusaka mtu na kumaliza deal bila kelele?
Ffp haiwezi tumika hapa kwakua Roman wakati anaiuza timu madeni yote yalifutwa. Hivyo kwenye ffp Chelsea ilionekana iko 0.Huyu Toddy kazidi, na amevunja Rekodi za dunia ,Kwanza hafanyi negotiation
Abromovich ,hata Perez hawakuwahi kuwa na fujo Hivi kwenye transfer, Roman hajawahi kutumia dirisha moja €250m Kama nipo sawa, Ni msimu ule aliompa Lampard ndio alifika €230m .
Hata Pep hajawahi kufika €250m + dirisha moja ,
Huyu Toddy summer kaweka rekod €300m , hii January anakimbilia €200m+
FFP kazi yake nini
Huyu mwamba naona kama ana meno ya huku kwetu R. Chuga. Sasa naanza kuelewa uhuni wake kautoa wapi. Anatabia za ki mwanaApolo kabisa. Lazima kapitia matejoo huyuMwamba huyu hapaView attachment 2481747
Hii umeandika kimihemko, kwani factor gani iludetermine msimu huu Liverpool/ Chelsea watacollapse, hata wao walichukua ubingwa miaka ya nyuma sababu Arsenal ilikuwa mbovu, united ilikuwa mbovu, tusiishi kwa kukariri. Regardless of anything, msimu ujao tena we are in for title.Ndio muda wwa kukaza kubeba kombe, unadhani msimu ujao wwapinzani wetu watakuwa lonya lonya tena?
Nataka nichukue viclip kadhaa, nimtumie huenda ikawa zali langu, nami nikaenda darajani, na nikienda darajani washika mitutu mnisamehe nikiwakuta nawafunga. 😂 😂[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2481694
Mkuu mimi binafsi nakuhakikishia kwa kikosi chenu hiki bila kuongeza wachezaji wa maana kwenye dirisha hili la usajili hio top 4 hamtoboi.
Muda ni msema ukweli, tuombe uzima tu, tukutane msimu ujao.Hii umeandika kimihemko, kwani factor gani iludetermine msimu huu Liverpool/ Chelsea watacollapse, hata wao walichukua ubingwa miaka ya nyuma sababu Arsenal ilikuwa mbovu, united ilikuwa mbovu, tusiishi kwa kukariri. Regardless of anything, msimu ujao tena we are in for title.
Ajabu watu mliokuwa ooh Arteta hana uwezo ndio wa kwanza kulaumu uongozi umsupport ili Arsenal ichukue ubingwa.
Labda Chelsea wanatafuta first 11, wameona reasonable kutoa 100m
Ila backup ya saka/martinel hauweze kutoa huo mzigo, labda 60-70m
Saka, saliba, martinel hawa pia inabidi wajeku-renew mikataba
Lazima ucheze vizuri na wage structure
Mshahara utakao mlipa mudryk ambae anaikuta arsenal iliyopambaniwa na hao wapambanaji
Hao wapambanaji lazima na wao wata-demand pesa kubwa sana. Na watakua sahihi
Kuna unafuu sana kumkosa mudryk kuliko kumpata
NB
Mudryk ni bonge moja la player
Kweli kabisa. Sisi utamaduni wetu ni kuapproach na kufanya maongezi kimya kimya maana hatupendi wenzetu wajue ili wasivamie. Fabio Vieira ilikuwa hivi hivi. Wakati Liverpool wanamfikiria tu wanakuta tushamchukua zamani. Sasa Shaktar wakamwaga radhi mbaya kabisa. Boss wao anatoka hadharani na kusema 'kwa anayemtaka Mudy, bei ni 100. Kama Antony kauzwa 100, basi Mudy naye 100'. Tukipeleka ofa, anatoka anasema 'Arsenal kaleta 50, jamani si nilishasema Mudy tunataka 100?' Mara aseme 'klabu kibao zinamtaka Mudy, na bei yake ni 100 kama Antony.' Hii tabia ya kuanika anika imewasaidia kupata bei waliyotaka.Hata huyu sidhani kama ilikuwa ni dhamira ya Arsenal proposal yao iwe public, walichokifanya Shakhter ni kuweka hili deal public ili kuinvite bidding war; na kwa kiwango kikubwa wamefanikiwa kuexrtact as much cash as what they wanted.
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
nadhani tunapaswa kumpata mtu kama hazard wa kipindi kile. siyo huyu wa sasa. siipendi chelsea ila nilikuwa naanalia game zenu kwa sababu ya hazard tu. full entertainment jamaa alikuwa anajua aisee
Tuna miaka 10 hatujawahi kumfunga spurs away na katika game Kama 10 tumetoa draw only 2 times ,so anything can happen najua tutawazidi kwa kumiliki mpira but defenders wetu na wasiwasi nao sana kwenye counter attacks za spurs inabidi leo watulie mambo ya kukabia juu yanaweza yakatuumiza but tusubiri game muhimu ambayo itatoa direction season hii ukiachana na next game vs Manchester United lazima tupate 3 points leo ili next week tunaenda kumaliza mchezo tunakuwa juu zaidi ila leo ikitokea negative results tutaenda game ijayo vs Manchester United pressure ikiwa juu na watu wazima tukaanguka so game ya leo sio rahisi hata kidogo in my opinionHuu ni wakati vijana wa Arsenal kuonyesha uwanjani kwamba Edu na Arteta kwanini umlikua mnahangaika na huyo wakati sisi tupo?! Mashabiki tulieni. Kambini mambo ni shwari, leo spurs anakaa hamna namna.
Nisahihishe kama nimekoseanadhani tunapaswa kumpata mtu kama hazard wa kipindi kile. siyo huyu wa sasa. siipendi chelsea ila nilikuwa naanalia game zenu kwa sababu ya hazard tu. full entertainment jamaa alikuwa anajua aisee