Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Huyu Aaron Arsenal hana tofauti yoyote na OllaChuga Oc pale timu zao zinapokung'utwa.
Unamjua huyu?
IMG_20230113_215731.jpg
 
People from Arsenal had a meeting yesterday with Fresneda’s agent in London and the proposal from gunners and the importance Fresneda would have in the squad were great. Lets see what happens.

(@PucelaNews_1928)
 
ivan Fresneda RB kutoka Real Vallodolid

Je Arteta anambadilisha moja kwa moja Tomiyasu kuwa LB ?

Ben White atasaidiana na Ivan Fresneda?

Cedric Soares January anaweza kuondoka Holding hadi Summer ataondoka

Je Kieran Tierney nafasi yake ipo wapi? Atauzwa ...

Wakiwa full fit Zinny , Tomiyasu na KT ,

KT amekuwa option ya mwisho Sababu ya mabadiliko ya mfumo LB kuwa inverted Holding midfielder
 
Kweli kabisa ,Je Øde anaenda kuwa Ozil mpya Arsenal?
Aaron Arsenal

Ni ngumu kuepuka kulisema hilo hasa kwa kuwalinganisha. Øde vitendo vinaongea sana akiwa uwanjani kama team captain kuliko kuongea.

Kwenye mechi na Wolves ni mchezaji aliyefanya covered 12.2km kuliko mchezaji yoyote wa Arsenal lakini namna alivyo na commitment. Arteta aina ya mchezaji kama yeye ambaye Arsenal ilimkosa kwa miaka mingi. Ni mtu mwenye vision ya mechi na kuongoza timu icheze mfumo upi.
 
ARTETA aliulizwa kwanini umemchangua Øde kuwa Captain akasema

Ndiye mchezaj pekee anayeweza kutafsiri Arsenal tuchezaje

Na Ndiye aliyemchagulia Jezi no.8
 
Back
Top Bottom