Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arteta on Mykhaylo Mudryk: “There are some interests on things we'd like to do to improve the team. We're a bit short in certain areas, we are trying”. #AFC

“Gabriel Jesus? He’s in the right place in terms of the time we set for him, but he’s still a bit far”, he added.
IMG_20230113_185008.jpg
 
Je Kuna wachezaji mbadala ya Mudryk au wa nafasi zingine tunaowasaka dirisha hili? Naona kama tunamfukuzia mtu mmoja tu na wenyewe wana kaza mpaka nadhani mwishowe hatutasajili mchezaji yeyote.
Tulieni mpigwe nyundo ya kichwa huyo Ni pepe part 2
 
Sasa manyumbu timu ya kutisha?
Sisi Tunataka mbondwe kesho, halafu Tunawangoja Emirates

Xhaka huwa anawataman Sana pale Emirates
Uzuri hata mashabiki wenzako, wanakujua wew ni mshabiki wa arsenal, Kutokana na upepo unavyovuma mambo yakiwa mabaya kwa vipigo mfululizo uwa unajipiga burn.

Tunakuja hapo Emirates kuwanyoosha tena, maana nyie ni mbio za vijiti mkijitahidi sana mtabakia nafasi ya 4 au kujiunga Europe msimu ujao.
 
Amecheza mechi 12 kwenye ligi msimu huu so ana goli 7 na assist 7 .Uefa ana goli 3.sasa ulitaka auzwe bei gan alafu we ni shabiki wa man u ulinunua sancho kwa 100 kapitwa magoli hadi na Nketiah hahahahahaView attachment 2480002
Hicho mnacholetewa mtakuja kujuta maana ni kituko kitakachofanya mlalamikie kocha na uongozi mzima.
 
Uzuri hata mashabiki wenzako, wanakujua wew ni mshabiki wa arsenal, Kutokana na upepo unavyovuma mambo yakiwa mabaya kwa vipigo mfululizo uwa unajipiga burn.

Tunakuja hapo Emirates kuwanyoosha tena, maana nyie ni mbio za vijiti mkijitahidi sana mtabakia nafasi ya 4 au kujiunga Europe msimu ujao.
Huyu Aaron Arsenal hana tofauti yoyote na OllaChuga Oc pale timu zao zinapokung'utwa.
 
Uzuri hata mashabiki wenzako, wanakujua wew ni mshabiki wa arsenal, Kutokana na upepo unavyovuma mambo yakiwa mabaya kwa vipigo mfululizo uwa unajipiga burn.

Tunakuja hapo Emirates kuwanyoosha tena, maana nyie ni mbio za vijiti mkijitahidi sana mtabakia nafasi ya 4 au kujiunga Europe msimu ujao.
Naona hii form ya kuwafunga timu za mkiani imewadanganya

Mnakuja kuzurula humu ,

Kesho Mkipigwa 4-0 , nadhan utakata mguu kuja humu
 
Back
Top Bottom