Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tulimtaka lakini sisi sio machizi kama nyie wa kutoa 10 mil kwa mkopo wa mchezaji, tena kwa miezi 6.

Nyie ndio wapumbavu pekee wa kutoa hiyo hela duniani kote!
Daaaah!!!!!!Hiii mashabiki wa Arsenal tunalia kindani ndani.

images%20(20).jpg
 
Huyo anayesema Felix ameikataa Arsenal Ni muongo

Mpaka Jana ,Arsenal na man u walikuwa wanagomea Hiyo loan fee ya €11m na kulipa full salary ya £260k

Chelsea Alikuwa amejitoa kwenye hili dili ,

Man u Hana pesa hivo nayeye Hakuwa na nguvu kwenye hili dili Alikuwa analialia apunguziwe ,maana hata dili lake la mkopo la Yule jamaa wa Besiktas limegomewa Sababu jamaa wanataka ada sio kubwa Lakini man u inamsumbua .
(Niliwahi kuwaambia mashabiki wa man u January hii watafanya biashara za mikopo tu wakanibishia wakisema wao Ni brand kubwa , Jana C.E.O wao nadhani John mourtough kasema Hawana pesa Sababu ETH walimpa zaidi ya £200m summer)

Hivo kwenye dili la Felix ,Alibaki Arsenal pekee , kilichomrudisha ChelKenge Ni Baada ya injuries mbili mpya ikiwepo ya Sterling ,Hapo kumbuka Tayari dili la MUDRKY kashakataliwa na MCHEZAJI, option ikabaki arudi kwenye dili la Felix ,

Ndipo akaja akakubali Condition za Atletico Madrid .
 
View attachment 2475731
Labda Kama hamjui usajili unaendaje ,Mimi binafsi nilitamani Felix aje aongeze depth , ila Arsenal hawakuwa tayar kulipa loan fee ya €11m na full salary kwa mchezaji wa miezi 6 tu

Chelsea wanaendelea na wataendelea kudidimia sababu wanasajili bila mpangilio ,kila dili wanazamia Ni sababu Toddy yeye Ndiye tajiri ,yeye Ndiye Sporting director

Moja ya Jukumu la Sporting director Ni kulink na kocha ujue Timu inacheza aina gani ya mpira , ili usajili kulingana na Falsafa

Sasa Unaweza kunipa utofauti wa Kai havertz , Mount, na Felix ?

Utakuja kukuta wanaongeza Quantity badala ya Quality

Ndio maana Hadi Sasa Katumia €400m Lakini Ni Kama kazitumbukiza chooni

Timu inazidi kudidimia
 
Mmekataliwa bhana acheni bla blaa, kila mchezaji ana timu aipendayo, mbona mudryk kasema anapenda kucheza arse88, kukataliwa sio dhambi.
 
Mimi kama shabiki, nimeumia kwa timu yetu kumkosa Felix.Naamini angeongeza kitu sana pale mbele.

Sasa hayo €6m au 10, siyo ya kwangu mzee!!!!!!!!

images%20(20).jpg
 
Mmekataliwa bhana acheni bla blaa, kila mchezaji ana timu aipendayo, mbona mudryk kasema anapenda kucheza arse88, kukataliwa sio dhambi.
Hatukuweka ofa yoyote ,Bali tulikuwa tunaomba Wapunguze hiyo loan fee

Sasa man u pesa Hana ,Arsenal hataki kutoa loan fee

Na ndio hao waliokuwa wanaongoza mbio

Felix anahitaji kusepa , Chelsea karudi na yupo tayari kulipa

Ulitegemea abaki ATM?

NAMUONA ANGEFIT ARSENAL KULIKO CHELKENGE

Maana wachezaji type Kama Felix pale ChelKenge wapo wengi , Ni anaenda kuua kipaji chake Tena
 
INASEMEKANA ARTETA KATAKA DEAL LIISHE MAPEMA ,HIVO HUENDA FULL PACKAGE NA BONUS DEAL LIMEFIKA €100M

Arsenal have taken a decisive advantage Mudryk race. They have almost agreed the final fee and with bonuses it could approach the 100m euro mark. Kroenkes are making a big financial commitment.

Chelsea less optimistic now

(@sebnonda ) - Very reliable
 
NEW #Breakdown

Arsenal are closing in on wonder-kid, Mykhailo Mudryk.

Watch @AndrewTodos, Ukrainian football expert, cover Mudryk’s playing style, his strengths & weaknesses, his love for God and his desire to win the Ballon d’Or.

youtu.be/PbYWCZh1N6Y

MUDRYK

Pros:
• Rapid speed (working towards 40km/h)
• 18 G/A in 18 appearances this season
• Elite ball-carrier, rides tackles well
• High shot accuracy (> Martinelli)

Cons
• Young, inexperienced - 30 club appearances
• Very left-sided - can he adapt?
• Huge fee
NEW #Breakdown

Arsenal are closing in on wonder-kid, Mykhailo Mudryk.

Watch @AndrewTodos, Ukrainian football expert, cover Mudryk’s playing style, his strengths & weaknesses, his love for God and his desire to win the Ballon d’Or.

youtu.be/PbYWCZh1N6Y

NEW #Breakdown

Arsenal are closing in on wonder-kid, Mykhailo Mudryk.

Watch @AndrewTodos, Ukrainian football expert, cover Mudryk’s playing style, his strengths & weaknesses, his love for God and his desire to win the Ballon d’Or.

youtu.be/PbYWCZh1N6Y

Huyu jamaa akiingia tutakuwa na afueni angalau
 
Hatukuweka ofa yoyote ,Bali tulikuwa tunaomba Wapunguze hiyo loan fee

Sasa man u pesa Hana ,Arsenal hataki kutoa loan fee

Na ndio hao waliokuwa wanaongoza mbio

Felix anahitaji kusepa , Chelsea karudi na yupo tayari kulipa

Ulitegemea abaki ATM?

NAMUONA ANGEFIT ARSENAL KULIKO CHELKENGE

Maana wachezaji type Kama Felix pale ChelKenge wapo wengi , Ni anaenda kuua kipaji chake Tena
20230110_011554.jpg
 
| #Arsenal took a decisive advantage in the race for the signing of Shakhtar Donetsk winger Mykhaylo Mudryk. Both clubs are still discussing bonuses, but have almost agreed on the total amount of the transfer, the amount of which could be around €100 million. [@footmercato]
 
Yaani nyie ni Kima kwelikweli, Mnajizungusha weeeee halafu mwisho wa siku mnarudi palepale kwenye €100 million.
Bahati yenu huyo mchezaji ana mapenzi na Arsenyani, la sivyo mpaka muda huu angekua tayari ameshavaa jezi ya timu nyingine.
 
Unaumia kutokea wapi
 
Back
Top Bottom