Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Jesus ameshaachana na magongo

Early February au katikati atakuwa mzigoni

IMG_20230108_205836.jpg
 
Ten hag ni kocha mzuri lakini kwa approach yake na wachezaji wake ni ngumu kuonesha ubora mbele yetu, mechi mlishinda kwa kuwin Midfield duelling cuz Lokonga alifeli kuexert the same control ambayo Partey anatupa. Game ilikuwa na turnovers kibao Man U wakacapitalize kutokana ubora wa Bruno, Rashford etc kwenye transition.

Ila ukija Emirates utamkuta Thomas Partey, Ø, Xhaka, so tutawin mid duelling, na tutaonesha technical consistency dk zote, No transitional game, utahitaji kutufunga kwa kucheza mpira vizuri sio kuvizia. Na unatakiwa ujue tangu tupoteze game OT Arsenal imekuwa timu yenye structure bora kwa kudefend transitions kuliko timu yoyote duniani kwa sasa.
"Mechi mlishinda kwa kuwin Midfield duelling cuz Lokonga alifeli kuexert the same control ambayo Partey anatupa"

Round ya kwanza baada kuwagonga bao 3 zigo la mavi mmeona bora mumbebeshe Lokonga, Round ya pili tunawabaka hapohapo kitandani kwenu, nina uhakika zigo la Mavi safari hii mtambebesha Nketiah Kima nyie kama kawaida yenu.
 
Naona unajiaminiiiiii,relax subir match
 
EPL NEXT 5 FIXTURES

Arsenal fixtures:

Totenham vs Arsenal
Arsenal vs Man United
Everton vs Arsenal
Arsenal vs Brentford
Arsenal vs Man City
Km tuko serious hapa kwa uchache ni points 13, au lah 15 zote, hapo tutakkuwa serious.
Usajili unalega lega, mie sina imani na Nketiah.
 
Back
Top Bottom