allypipi
JF-Expert Member
- May 10, 2020
- 3,332
- 10,973
Sema timu zenye hazina uefa hata moja hizi akili zinakuwa hazipo.Ni kichaa tu ataangalia mechi za Man u, wenye akili tunaangalia mpira mzuri kutoka kwa pep & Mikel, hawa wote walikuwa regista, wote wamepita La masia Barcelona, we kocha wako alicheza timu gani? Pep wannabe who's older than pep himself [emoji1787][emoji1787]