Na director wa shaktar anaakili kubwa ya biashara,kila kitu kilichokuwa kinaendelea kwenye deal ya mudryk alihakikisha midia zinajua ili kuinua biding war.
Kweli mchezaji ni mzuri lakini kunahaja ya kuangalia status na nature ya mchezaji.
Mchezaji anayetoka ligi hiyo hata kama ni mzuri kuasi gani hawezi ingia moja kwa moja first eleven.
Kwangu mimi pamoja na maajabu yake namuona kama project player.sio world class proved,€100 kwa mchezaji anayetoka farmers league ni upuuzi wa kiwango cha lami.
My take.arsenal wasiongeze mzigo zaidi maana hatuna uhakika kama ya pepe hayatajirudia.kumbuka hawa watu james rodriguez,hakim ziyeich,pepe,gervinho,lukaku na wengine wengi walitabiriwa makubwa wakati wa usajili wao na vilabu vikavunja benk ila it ended in vein
Mashabik wenzangu nawasihi huyu kiumbe tunamhitaji ila akikosekana kwa biding war tutulie na tuiamini management.
Mkumbuke sancho,fred,antony,grealish na wengine wameacha maumivu makubwa.
We believe in arsenal
NNOTE,hakuna mahali tulisema tutashinda mechi zote msimu huu,hakuna mahali tulisema hatutafungwa,hakuna mahali team ilisema haitatoa sare na hakuna mahali tulisema tunataka ubingwa.our mission is to win every match and secure as much as possible points mengine watayajua wao na watajua nani wakumpa kombe may