Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ni mjinga tu anayeweza kusema kwamba Arsenal kusuluhu jana imepoteza uelekeo. Ukweli ni kwamba Arsenal walihitaji point 3 kwa sababu wanatafuta ubingwa, Point moja si haba kuliko kupoteza. Na hizo ndio attributes za timu kuhitaji ubingwa. lakini Draw ya jana dhidi ya Newcastle ni ishara mbaya kwa wapinzani (Tottenham na Man Utd) ambao watacheza na Arsenal hivi karibuni wasitegemee mechi rahisi na Arsenal, kwa sababu Arsenal atajaribu kila mbinu ku-fill hiyo void ya jana. Wengi tutaleta unazi wa kishabiki, ila tukija kwenye uhalisia na mizani ya utaalamu kimpira Arsenal kuwazuia ni ngumu na unahitaji kujipanga vilivyo. mmejisahaulisha kwamba Newcastle ni moja ya timu ngumu sana kwa sasa Uingereza na pengine Big Dog's wengine wataangusha points wakikutana nao..
 
Ile spiriti ya jana ya Arsenal na Arteta sio ya kubaki top 4 tu. Ile ni ya ubingwa.
Hao wanaoibeza Arsenal totally hawajui football. Sasa hizi timu mbili tu ndizo zenye hiyo spirit ya kushinda kila mechi
1) Arsenal and
2) New Castle
Hata kwa city sioni hiyo spirit
Congratilations Arsenal fans
Msimu huu mtanenepa sana, yale magonjwa ya moyo mwaka huu yote yataponywa.

Natamani hiyo spirit irudi kwetu Chelsea

Mimi niko upande wenu angalau kwa mwaka huu ili kuwasuport muangushe utawala wa kipara.

Kazeni buti hadi ubingwa

Mkae pia kibingwa bingwa muache matusi kwenye majukwaa ya wengine
 
Mpigeni Manchester City Thursday tupo upande wenu msituangushe
 
Mapema tu apo City 3-1 Chelsea
safi sana Chuga, hizi kima zinataka mtelezo kupitia mgongo wenu.
Kila mtu apambane na hali ya yake.
Wakumbushe hawa Misukule hii ni Epl sio FA, ndio kwanza tunamalizia mechi za round ya kwanza, kuna mechi nyingine 18 zinakuja.
Pumzi ikikata kuna mwanaume mwingine anakupandia kwa juu.
 
Xhaka alikuwa mzito leo, Odegaard hakuwa na mechi nzuri. Tumeshindwa kutumia nafasi nyingi sana.

Anyway, we take one game at a time. Chelsea ajitahidi kumfunga city ili gap liwe point nane.

Ubingwa wa epl kwa arsenal upo palepale.
Acha kurembaremba maneno, sema tu haya makinda yetu ya Academy tayari yameshaanza kuchoka na pumzi zinakata.
Epl ni ligi ya wanaume sio ligi ya watoto wa kiume.
Hizi kima nafasi yao ya kucheza Europa msimu ujao iko palepale.
 
Tukiweka ushabiki pembeni game ya jana ilikua moto sana.
Unatazama mbugi huku unaenjoy, mchakamchaka mwanzo mwisho.
Mechi za kibabe namna hii tumezoea kuziona wakikutana Chelsea Vs Liverpool.

Mkuu wewe mpira unaujua vizuri. Ila Flano Newcastle wamemkumbusha Arteta anahitaji mtu katili kwenye goal, mkuu na ili uwe bingwa unapaswa kucheza vile 😂😂😂.
 
Mkuu Aaron Arsenal a.k.a chambuzi lenye linatokea arsenal ikishinda tu.

Manchester tulivyotoka draw na Newcastle ulidhania sisi wabovu sana na kunukuu.

Kama Newcastle imepelekewa moto na manyumbu hivi sisi arsenal kwa ball letu lile tutapiga goli nyingi sana.

Hivi mkuu ujui Newcastle kapoteza game moja tu dhidi ya Liverpool arsenal ni timu ya kawaida sana.
Chambuzi bado limelala litaamka baada ya siku 3 watu wakishasahau funguo za draw zilipopotelea.
 
Xhaka alikuwa mzito leo, Odegaard hakuwa na mechi nzuri. Tumeshindwa kutumia nafasi nyingi sana.

Anyway, we take one game at a time. Chelsea ajitahidi kumfunga city ili gap liwe point nane.

Ubingwa wa epl kwa arsenal upo palepale.
Shida ya xhaka kiila siku naimba hanyumbuliki, kuna mipira aliipata, angekuwa mnyumbulifu huenda tungeongea mengine.. Midfielder ngumu kama inakula mawe.. 😂 😂

Newcastle wamejitahidi, tuwe serious nketiah bado kumtegemea akupe ndoo, martineli sasa hivi watakuwa wamejuwa kumzuia, hapewi uwanja wa kukimbia na mpira.
 
Back
Top Bottom