MLA PANYA SWANGA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,186
- 5,450
Tupeni ukweli sajili zilizotiki.
Huyo Ni Mali ya ArsenalHatimae hangover imeisha.
Jukwaa lilikua limepoa hili, habari za Mudryk tulikua hatuzipati tena.
Vipi Shakhtar wamefikia wapi juu ya chezaji letu la Ballon d'Or?


Nami nimo.Leo nipo Chelsea kwa mkopo
Cesc hakuwai kuongea shit kuhusu the gunnerHii ya Cesc kurudi Kama Kocha U18 Kule na kina jackwilshere
Mmeichukuliaje?
Project ya Arsenal inavutia Cesc kwona arudi nyumbani ni mtu ana njaa ya mafanikio. Ingawa maoni ya wengi wanamuona kama "snake". KSE pamoja na Edu wanahitaji watu wakujitoa na wenye njaa.Hii ya Cesc kurudi Kama Kocha U18 Kule na kina jackwilshere
Mmeichukuliaje?
Mkuu sijui utajiteteaje na kwenye mechi na man u maana umepiga domo kweli Newcastle ulisema utapiga goli nyingi sababu man u aliipelekea moto vipi sasa wewe umeshinda?Dah ndio maana Mimi matokeo Kama haya nakaaga kimya kwanza watu waoongee kwanza
Arsenal Ile mechi alipiga mpira ambao Ni timu chache Sana zitatoka salama
Eddie Howe anajifanyaga anatembea na 4-3-3
Ila ilibidi abadili kwenda 5-4-1
Akafanya pia Saka na martinel wasiwe 1v1
Saka alikuwa anazingirwa na watu wawili au watatu ,same to Martinell
Perfomance Kama Zile kwasisi ambao tunaangalia Zaidi ya matokeo lazima ujivunie
Niliona performance Kama Zile dhidi ya mancity pale Emirates last season na dhidi ya Liverpool pale Emirates ,zote tulipoteza ,ila Zile performance niliamini tunaenda kupigania UBINGWA ,
Toka preseason nilikuwa nikisema tunapigania ubingwa Kuna watu waliona vichekesho ,
Sasa Performance Kama ile dhidi ya Newcastle ,Ni dhahiri Kuna timu kibao zitachezea vipigo
NDICHO PEP GUARDIOLA Kilichomuogopesha
Sio Pep wote wapenda mpira wameingia na wasiwasi mkubwa Sana,
Maana Newcastle alianza kupoteza na muda ,akaona point 1 tamu,
Bado Arsenal aliendelea kupeleka Moto tu
Hapo Penalties 2 zimekuwa muted
Sawa sawa ,jamaa hajawahi kutoa shit Kama van persieProject ya Arsenal inavutia Cesc kwona arudi nyumbani ni mtu ana njaa ya mafanikio. Ingawa maoni ya wengi wanamuona kama "snake". KSE pamoja na Edu wanahitaji watu wakujitoa na wenye njaa.
Binafsi safi sana mkuu Aaron Arsenal
Wewe hata mpira kujadili kiufundi hujui ,Sasa nitakujibu NiniMkuu sijui utajiteteaje na kwenye mechi na man u maana umepiga domo kweli Newcastle ulisema utapiga goli nyingi sababu man u aliipelekea moto vipi sasa wewe umeshinda?
Binafsi naomba Chelsea washinde ,hata kusogea juu wasogee ,sio Hawa manyuaMimi nipo tofauti kidogo
Leo Chelkenge afe tu, akifa za kutosha (mkono) itakua poa
Kelele za kenge zimekua too much ukiachana na hali ngumu aliyonayo
Ikitokea sare /draw itakua POA ZAIDI
Haiwezi kutokea Kengez akapata matokeo leo
Tunabeba Ndoo kwa mfumo huu huu kila mtu ashinde mechi zake
| #Arsenal boss Mikel Arteta has been nominated for the Premier League Manager of the Month award for November/December. #afc
Mykhaylo Mudryk's latest like on Instagram. 
mmudryk10)Nafasi ya 10 msimamo wa league😝😝😝Dahhh kwa haya majeruhi ya sterling na Mount sasa kuna kila dalili Chelsea wakaingia na miguu miwili Kwa Mykhaylo Mudryk's
Kwa sababu wao ndio wanauona mchezo wa mpira kwa jicho la kiufundi pindi wanapokuwa uwanjani.Kwanini viungo wanapenda kuwa makocha wa mpira? Wilshere X Fabregas