Labda ndoo ya kuogeaMnafurahisha kweli. Kwahiyo sare ndo imewafanya mje kujazana humu.
Nimeamini ni kweli mtaumia sana tukichukua hii ndoo.
Halafu anaenda kuchukua point 6 kwa arsenal kiulani sana.City anakwenda kupunguza gape Lake from 8pts to 5pts๐๐๐๐๐๐
Labda ndoo ya kuogea
Then we still have the match to loose and at the same time remain at the top๐๐๐City anakwenda kupunguza gape Lake from 8pts to 5pts๐๐๐๐๐๐
Arsenal punguzeni matumaini na washika manati wenu hawa.
Kimsingi ligi isingesimama kufikia Xmas mngekuwa mnagombea nafasi ya 8 na chelsea.
Umia kidogoThe game was too big for a referee, too much unnecessary yellow cards but also Artetaโs behavior at times (altercations) with fellow managers needs be checked.
Mimi nisiwe mnafiki, Arsenal akibeba ndoo nitaumia sana. Emirates sitaki chochote zaidi ya points 3.Mnafurahisha kweli. Kwahiyo sare ndo imewafanya mje kujazana humu.
Nimeamini ni kweli mtaumia sana tukichukua hii ndoo.
Nakuhakikishia, Man Utd hawezi kuondoka hata na point 1 pale Emirates.Mimi nisiwe mnafiki, Arsenal akibeba ndoo nitaumia sana. Emirates sitaki chochote zaidi ya points 3.
Conte hataniangusha pia.
Sisi Chelsea tutauza mechi maana hatuna cha kupoteza tena tunajenga timu kwanzaXhaka alikuwa mzito leo, Odegaard hakuwa na mechi nzuri. Tumeshindwa kutumia nafasi nyingi sana.
Anyway, we take one game at a time. Chelsea ajitahidi kumfunga city ili gap liwe point nane.
Ubingwa wa epl kwa arsenal upo palepale.
Mnampa CitySisi Chelsea tutauza mechi maana hatuna cha kupoteza tena tunajenga timu kwanza