lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,670
- 25,863
Chelsea wanavizia nyie mshindwe kwanzaChelsea waingilia deal la Mudryk, i guess we will miss him,
Verifying Device
www.thesun.co.uk
Na nafikiri hii ni inteligensia ya Shackar Donest ya kutunga ili ninyi mjiongeze zaid na kwa sababu ya hiyo rumours nasikia Arsenal mnategemea kufikisha dau karibu na Eur 85m wanayotaka hao Shackar