Emi Martinez alikuwa academy ya Arsenal ,wamepita makipa wengi Lakini hakuaminika , alipokuja Arteta bado Emi alikuwa no.2 , mechi na Brighton maupay alimuumiza Leno, ikaonekana Leno atakaa nje muda mrefu ,ikabidi Emi apewe nafasi ndipo akafanya vzr Hasa Mechi za FA Cup akifanya vzr Sana mechi ngumu Zote, na Community shield pia , Baada ya hapo akataka Sasa apewe no.1 ,lakini Arteta akasema hawezi kumuhakikishia hivo, kipind hicho Argentina kipa wao Armani na wengine hawakuwa wazuri kabisa ,wakiwacost Sana.
Astonvilla wakaleta ofa ,Emi akauzwa Baada ya miaka 10 ya kukaa Arsenal ,
Kwa uwezo aliokuwa ameonesha kwenye michuano ya FA CUP na ligi mechi chache na kucheza penalty tayari akawa ameanza kufikiriwa NATIONAL TEAM,
Alipoenda Astonvilla akaanza kuitwa NT, na akawasaidia kubeba COPA AMERICA huku akiwa msaada mkubwa Kuanzia Nusu had fainal ,pia akachukua Finalsma , na Sasa World cup .
Messi amekuwa akimshukuru mara kadhaa kwa uwezo wake wakumsaidia kubeba hayo mataji
HIVO SAFARI YA EMI ,ILIANZIA KWA LENO KUUMIZWA NA MAUPAY