Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Huyu Mateka alijiunga kuichezea Arsenyani mwaka 2011-2016.
Katika miaka yake yote 6 aliyoichezea Arsenyani kaambulia kushinda makombe mawili tu ya FA Cup mwaka 2014 na mwaka 2016[emoji23][emoji23][emoji23]

Mwaka 2019 akasajiliwa kama kocha wa Arsenyani, ndani ya miaka 3 ya kufundisha Nyani za Emirates ameishia kushinda kombe moja tu la FA Cup mwaka 2020[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]


Nyinyi mashabiki wa Arsenyani wenye ndoto za kubeba Epl shtukeni mapema, huyo Mateka wenu ni mzee wa makombe ya FA tu, tena wastani wake ni kila baada ya miaka 3 anapata kombe moja, hivyo tegemeeni kupata kombe lingine la FA baada ya miaka miwili mbele.

Nyie Nyani nawakumbusha tu msijifanye mmesahau, ngao ya hisani sio kombe.

Povu ruksaaaaaa
Je unajua manyumbu utd ina miaka 6 Sasa bila taji lolote na Kuna uwezekano ikagonga miaka 10?
 
Hakuna cha nyoka wala nini, Arsenal wachezaji wengi wakitoka wanapachukia mana hapana mafanikio. Hata leo hii ukiwauliza akina Fabrigus, A.cole, Giroud,Nasri nyumbani ni wapi, hawatakutajia Arsenal.
Arsenal inakupa uchizi , EPL imerudi timu lenu bovu, sijui mtajicichia wapi Safari hii

World cup imeisha
 
EFL..msikose kesho mida hii tunakiwasha. Hivi nyie EFL mnacheza lini?
Screenshot_20221220-165914_All%20Goals.jpg
 
[emoji748]Arsenal kesho panapo majaaliwa
Watapiga mchezo wa kirafiki dhidi ya Luton town

[emoji748]Mchezo huo utapigwa ktk viwanja vya mazoezi vya London Colney
FB_IMG_1671565741165.jpg
 
[emoji452]Kocha wa Arsenal ametimiza miaka 3
Akiwa mkufunzi wa Arsenal[emoji122][emoji122]

[emoji599]Arteta akiwa Arsenal

[emoji818]Michezo [emoji666]151
[emoji819]Ameshinda michezo [emoji666]90
[emoji680]Sare michezo [emoji666]21
[emoji735]Amepoteza michezo [emoji666]40
[emoji471]Community shield [emoji666]1
[emoji471]Fa cup [emoji666]1
FB_IMG_1671565807401.jpg
 
[emoji599]BREAKING: Arsenal are close to agreeing a new contract with Gabriel Martinelli that will see him become one of the club’s top earners.

Gabriel Martinelli’s new terms will be worth in the region of £200k-per-week, as per @SamiMokbel81_DM.
IMG_20221221_075629.jpg
 
Dogo una chuki na Arsenal paka inakupa uchizi, so Edu Gaspar, Pires, Adams, Arteta, Henry, Viera wanaichukia Arsenal? au unadhani Arsenal ni Nasri, Adebayor na Van persie tu?
Sheikh kipozeo hua ana kauli yake moja anapenda sana kuisema kila mara:
"Ukweli hua una kawaida ya kuchomachoma ila dawa yake ni kuvumilia"
Oyaaa Will Jr siku hizi unaadimika sana mtu wangu kwenye hili jukwaa letu pendwa.
Usiwe unatutupa namna hio, humu ndani bado tunahitaji busara zako.
Kwema lakini mkuu?
 
Sasa Nani wakutufunga tukitaka Jambo letu?

Msimu huu tunapigania mataji matatu TU

EPL

FA cup

Europa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kila la heri Mkuu, Imani ndio kila kitu.
Mkiwa na imani japo ya punje ya haridari mnaweza kutwaa mpaka Uefa champions league ndani ya msimu huu huu mnaoshiriki Europa.
 
Wewe bana wewe una shida sehemu.
[emoji23][emoji23][emoji23] nizoee tu mkuu, mimi ndio nipo hivihivi tokea nipo ndani ya tumbo la bimkubwa.
Ukiona nakukera sana unani ignore tu kiroho safi.
Tokea kufutwa kwa jukwaa la Jokes nimeamua rasmi kutia kambi humu kama mbadala wa lile jukwaa la utani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom