Wewe timu lako bovu, unapata wapi muda wakuja humu ?
Mechi za kujipima umeshinda mechi gani?
Ndio Jana tumefungwa Tena kwa kujifunga ,Lakini tulioangalia mpira Tunajua Ni kawaida maana muda wote tuliwaelemea , hakuwataka kutoka nyuma
Ndio maana hata magoli Yao Ni yakujifunga
Full-time: Arsenal 0-2 Juventus
Shots: 19-3
Shots on target: 2-1
Possession: 75% - 25%
Passes: 772 - 276
Unapoangalia mpira Angalia madhaifu,
Sidhani Kama kwasasa timu yako mbovu inaweza kumiliki mpira kiasi hiki ....
View attachment 2450483