OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,960
- 25,309
Cheki hii takataka sasa😂😂😂 hii manjestaa yenye matoto mchele mchele yameleta nini kwenye hii wod Kap 😳😳😳FIFA President Gianni Infantino mwenyewe ameishukuru sana Man United na kusema wachezaji wa United ndio wamenogesha zaidi michuano ya world cup mwaka huu, Infantino ameendelea kudai kuwa bila ya wachezaji wa Manchester hii michuano isingekua na tofauti yoyote na mashindano ya Ndondo cup.