Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Alexis Mac Allister ni moja kati ya wachezaji ambao ningependa tupambane sana kuwapata, ni kiuongo wa kati ambae anaweza akawa amebakiza vitu vichache kufikia ukamilifu.
Kwanza, anaweza kucheza kwenye hatua zote za kupanga mashambulizi (ya kwanza mpaka ya tatu).
Kwenye hatua ya kwanza (kwenye eneo letu chini kabisa) ubora wake upo kwenye kuchukua mali bila presha na kugeuka na kutoa, pia ni 'press resistant' (anaweza kukwepa presha ya kukabwa).
Kwenye hatua ya pili (katikati) ubora wake ni kwenye kupiga pasi na kucontrol tempo ya mchezo (anaweza akaamua tucheze kwa kasi ya kiwango gani) sio volume passer (mpiga pasi nyingi) lakini anaweza sana kupiga pasi fupi fupi na za mbali.
Kwenye hatua ya tatu (kwenye 1/3 ya mwisho ya adui) , anaweza kufanya mikimbio ya ndani ya box na kushambulia, japo hafanyi kwa kiwango kikubwa ila anafanya kwa kiwango chake.
Tuna utajiri wa namba 8 kwenye kikosi chetu, Ø, Smith-Rowe, Fábio Vieira, Nwaneri, Patino ila Mac Allister ni watofauti, anaweza kuleta vitu vingi mezani.

mwenzangu huyu dogo yupo vizuri sana Big up kwake

of them.
to his name.
| Fulham are close to signing #Arsenal defender Cedric Soares, reports @alex_crook of @talkSPORT #afc