Yule jamaa mwana siasa tulimwambia Aache siasa ,akawa analeta ujuaji
Arsenal haiwezi kusajili DM NA LCB January hii maana Ina option hayo maeneo ,Bali itajikita zaidi eneo la ushambuliaji .
Hayo maeneo ya DM na LCB Hadi kiangazi ,akatoa dharau na kashfa za kutosha.
Kama mfatiliaji wa arsenal ipo wazi eneo la backline Kuna option za kutosha sio Kati sio Pembeni
Eneo la DM Kuna Elneny , Ni eneo la Ushambuliaji ndilo linahitaji maboresho
Na Target kuu Ni mudrky ,Huyo Felix Ni kelele tu zakutafutiwa soko sio habari zinazoonekana zipo mbele Sana.